Rais Samia anawapenda Sana Watanzania Kwa Dhati Ya Moyo wake

Ndugu zangu Watanzania,

Hotuba ya Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Imeonyesha Kuwapenda na kuwajali sana Watanzania. Ni hotuba iliyoonyesha upendo mkubwa alionao Rais wetu kwa watanzania.

Ni hotuba ambayo imeonyesha muendelezo wa Dhamira ya Dhati ya Rais wetu kutaka kuona wananchi na watanzania wote kwa ujumla wake wakiishi kwa amani ,umoja , mshikamano na Kwa upendo. Ameonyesha nia ya kuliunganisha Taifa letu, nia ya kuponya majeraha kwa yeyote aliyeumizwa na kujeruhiwa .

Ameonyesha nia na dhamira ya dhati kabisa ya kufutana machozi kwa upendo na kusameheana. Mama ameonyesha upendo wake wa dhati na nia ya kujenga na kuimarisha umoja wa kitaifa. Mama yetu ameonyesha utayari wa kukaa mezani na yeyote yule mwenye dukuduku. Amekunjua na kunyoosha mkono wa maridhiano.

Hataki ushindi katika kujenga umoja wa kitaifa. Anataka sote tushirikiane kujenga umoja wa kitaifa.anataka kila mmoja wetu awe na sauti sawa na mwingine.anataka sauti ya kila mmoja wetu isikike na ipewe thamani na sikio . Ndio sababu ta kutaka kuunda tume ya maridhiano. Ndio sababu ya kuwaomba watanzania kuungana kulijenga Taifa letu

Watanzania hatuna budi kumuunga mkono Rais wetu Mpendwa. Hatutafuti nani kakosea wapi na nani kaharibu wapi. Tunatafuta njia ya kuliponya Taifa letu na kusonga mbele kwa pamoja. Tunatafuta ushindi wetu sote kama Taifa .

Tukunjue mikono yetu ,tunyooshe mikono yetu ya amani . Tukunjue mioyo yetu na kuungana kutafuta ushindi kwa Taifa letu. Sisi sote ni watanzania na jadi yetu ni kuzungumza mezani kwa amani na utulivu. Hakuna gumu katika meza ya mazungumzo,hakuna lisilowezekana kufikia muafaka.

Yote yanawezekana tukikaa pamoja na kuzungumza. Rais wetu ni msikivu ,Rais wetu yupo Tayari mezani . Tuamkeni na kwenda mezani kuzungumza kwa msitakabali mzima wa Taifa letu. Tusikubali yeyote akatuvuruga na kutujaza na kutupandikiza chuki na uhasama Mioyoni mwetu. Wengine kula yao na shibe ya matumbo yao inategemea zaidi kuleta uchochezi,kupandikiza chuki na kuleta msuguano ndani ya Taifa.tusiingie kwenye mtego wao.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3523793
SAMIA NI MUUAJI
SAMIA SIYO RAIS
SAMIA NI MHAINI
 
Buku 7
 
Attachments

  • Screenshot_20260101-202707.jpg
    Screenshot_20260101-202707.jpg
    258.2 KB · Views: 14
  • Screenshot_20260101-202727.jpg
    Screenshot_20260101-202727.jpg
    253.8 KB · Views: 15

Na hawa anawapenda?

IMG_8616.png
IMG_8600.jpeg

IMG_8622.jpeg
IMG_8623.jpeg
 
Umeongea ujinga mtupu usio na ushahidi wa aina yoyote ile zaidi ya kumezeshwa ujinga na watu waliomahasimu na maadui wa Taifa letu.
Wewe ni wakala wa shetani ambaye mwili wako ni nyumba ya shetani.

Laana kuu ipo juu yako kwa kufurahia vifo vya binadamu wenzako ili tu tumbo lako lipate kushiba, hiyo ni sawa unakula damu za binadamu wenzako.

Hasara kubwa kwa wazazi wako ambao watakuwa wanaishi kwenye huzuni kubwa kwa kumpata mtoto ambaye ni nyumba ya shetani.
 
2026 hii gutuka wewe homesexual na uacha uhanithi wako
 
Wewe ni wakala wa shetani ambaye mwili wako ni nyumba ya shetani.

Laana kuu ipo juu yako kwa kufurahia vifo vya binadamu wenzako ili tu tumbo lako lipate kushiba, hiyo ni sawa unakula damu za binadamu wenzako.

Hasara kubwa kwa wazazi wako ambao watakuwa wanaishi kwenye huzuni kubwa kwa kumpata mtoto ambaye ni nyumba ya shetani.
Tangia lini ukakasimishwa madaraka na Mungu
 
Huyo nyang'au, takataka , muuaji yuko kitabu kimoja na Jean Bosco Ntaganda, Joseph Kony, Laurent Nkunda , Saddam Hussein , Iddi Amin, Joseph Mobutu.

Hii website imeanika uchafu wake wote.

20260102_001428.jpg
 
Back
Top Bottom