Rais Samia anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid Al Fitr Waislam wote

Mributz

Senior Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
177
Reaction score
527
Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid al Fitr Waislamu wote, na kuwakumbusha kuendeleza misingi waliyoiishi katika siku 30 za mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kutenda yaliyo mema, kuwajali wengine, sadaka shukrani na ibada kwa mwenyezi Mungu"
.
Kupitia Ukurasa wake wa Twitter, Rais Samia amepakia salamu hizo nakuandika "Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr. Kuandama kwa mwezi ni hitimisho la funga yetu lakini pia ni wakati wa kuendeleza misingi tuliyoishi katika siku hizi 30 misingi ya kutenda yaliyo mema, kuwajali wengine, sadaka, shukrani na ibada kwa Mwenyezi Mungu. Eid Mubarak".

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…