Rais Samia anaweza kutoa mhadhara Chuo kikuu cha Havard au Yale Marekani na dunia nzima ikasimama

Lucas, hizi sifa kwa Mkulu si bure, hizo ni dalili za wazi kabisa za ama ugonjwa wa malaria kupanda kichwani, au itakuwa ni ugonjwa wa kideli cha kuku.
 
Huna adabu kabisa na umekosa malezi mazuri ya wazazi wako.
Wewe ndo umekosa malezi mazuri.
Mlinitoroka na mama yako mmeenda kukaa huko.
Ona sasa unavyoniaibisha mtandaoni baba yako.
Hizi tabia za mamaako kabisa umerithi.
 
Wewe ndo umekosa malezi mazuri.
Mlinitoroka na mama yako mmeenda kukaa huko.
Ona sasa unavyoniaibisha mtandaoni baba yako.
Hizi tabia za mamaako kabisa umerithi.
Ujinga na utoto umekujaa akilini mwako mpaka sasa unaanza kuropoka uongo na uzushi wa kijinga
 
Mwenye akili na anayejitambua anajibu hoja kwa hoja,ila asiye na akili na asiyejitambua ndio anafanya kama ulivyo fanya wewe.
Sasa kuna hoja gani kwenye huo uharo ulioandika ungeandika hoja ungejibiwa kwa hoja sasa huo uharo na upuudhi ulioandika ndio ujibiwe kwa hoja stupid asshole
 
Mtatufanya tuache kutembelea hili Jukwaa kwasababu ya huu upuuzi wenu mnaotuletea hapa🚮.
Hilo dubwasha limenifanya niichoke jf!! Ninapofungua tu nikakuta Uzi wake napata kichefuchefu.

Haiwezekani Kila wakati ni kusifu na kupamba tu kana kwamba tuliomo humu wote tunamtizamo kama wake!!

Huyu na wenzake wamelichafua hili jukwaa!! Nakumbuka kabla hajajua kusoma na kuingia humu tulikuwa tunakutoa madam nzuri mpaka unashawishika kuchangia.

Ile Kunguru imetuharibia sana jukwaa letu
 
Chawa proper.Anatosha huku nchi ikiwa shamba la bibi!Disgusting.
 
Lucas, hizi sifa kwa Mkulu si bure, hizo ni dalili za wazi kabisa za ama ugonjwa wa malaria kupanda kichwani, au itakuwa ni ugonjwa wa kideli cha kuku.
Siyo sifa bali ni ukweli wa wazi na halisia kabisa
 
Sasa kuna hoja gani kwenye huo uharo ulioandika ungeandika hoja ungejibiwa kwa hoja sasa huo uharo na upuudhi ulioandika ndio ujibiwe kwa hoja stupid asshole
Maneno yako yanaonyesha namna ulivyo kosa hoja na kupaniki tu.
 
Chawa proper.Anatosha huku nchi ikiwa shamba la bibi!Disgusting.
Nchi yetu ipo salama na kila kitu kipo salama katika mikono salama ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
 
Kwani umelazimishwa na kushikiwa mtutu wa Bunduki kuingia humu? Embu ondoka haraka sana uone kama jukwaa halitasonga mbele kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.anzisha jukwaa lako ndio uweke masharti yako
 
Nchi yetu ipo salama na kila kitu kipo salama katika mikono salama ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Comment ya kijinga sana hii.Ila niwakumbushe,hata mpira una "elastic limit."
 
Lucas are really okay!?No,sio uchawa wa kiwango hiki.Something must be seriously wrong with you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…