Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Benki ya Maendeleo ya Afrika imemualika Rais Samia Suluhu kuhudhuria Jukwaa la Wawekezaji Afrika litakalotoa fursa ya kuwakutanisha na wawekezaji na kusaidia upatikanaji wa mitaji.
Mualiko huo umetolewa leo na Rais wa Benki hiyo, Dkt Adesina Akinumwi alipozungumza na Rais Samia kwa njia ya simu leo hii.
Benki hiyo pia imempongezea Rais Samia kwa jinsi anavyoimarisha sekta binafsi.