Tusipoangalia Anaweza kuwaomba WATALIBAN waje kuwekeza kigamboni.😂😂Huyu bibi ataenda hadi sayari ya mars
Aende hata Libya, Atasindikizwa na kupokelewa anaporudiBenki ya Maendeleo ya Afrika imemualika Rais Samia Suluhu kuhudhuria Jukwaa la Wawekezaji Afrika litakalotoa fursa ya kuwakutanisha na wawekezaji na kusaidia upatikanaji wa mitaji.
Mualiko huo umetolewa leo na Rais wa Benki hiyo, Dkt Adesina Akinumwi alipozungumza na Rais Samia kwa njia ya simu leo hii.
Benki hiyo pia imempongezea Rais Samia kwa jinsi anavyoimarisha sekta binafsi.
Ila wale jamaa wanakuaga hawana adabu aiseeKitendo cha kubambikizia kesi watu wasio nahatia ni kitendo kibaya sana na hakifai. Huyo mama anajifanya haoni kuwa watu wanateseka huko mahabusu yeye anaponda raha tu
,hivi Simiyu amefika kweli?
,hivi Simiyu amefika kweli?
Siku zote akina mama wakiona kuna njaa nyumbani wao ndio huenda kuemea; mama tafuta ugali watoto wako wapone njaa. Mwacheni mama afanye kazi. Kuna faida nyingi za mama kwenda nje; anapata pesa za kutuletea maendeleo na pia yeye tu kwenda nje akiwa Mkuu wa Nchi na Dola pekee mwanamke Afrika aniatangaza Tanzania. Hakika naamini tangia Mama aingie mamlakani watalii watakuwa wameongezeka.Nenda Mama... Mwenda bure sio sawa na mkaa bure
Ngoja nichangamkie fursa kwa kuwasiliana na Elon Musk nimshawishi ampigie simu Chief Han Gaya ili aone jinsi tunaweza kufaidika kwa safari za "angani".Huyu bibi ataenda hadi sayari ya mars
Mama yuko on the right track... Tunaenda vizuriSiku zote akina mama wakiona kuna njaa nyumbani wao ndio huenda kuemea; mama tafuta ugali watoto wako wapone njaa. Mwacheni mama afanye kazi. Kuna faida nyingi za mama kwenda nje; anapata pesa za kutuletea maendeleo na pia yeye tu kwenda nje akiwa Mkuu wa Nchi na Dola pekee mwanamke Afrika aniatangaza Tanzania. Hakika naamini tangia Mama aingie mamlakani watalii watakuwa wameongezeka.
Sawa tuBenki ya Maendeleo ya Afrika imemualika Rais Samia Suluhu kuhudhuria Jukwaa la Wawekezaji Afrika litakalotoa fursa ya kuwakutanisha na wawekezaji na kusaidia upatikanaji wa mitaji.
Mualiko huo umetolewa leo na Rais wa Benki hiyo, Dkt Adesina Akinumwi alipozungumza na Rais Samia kwa njia ya simu leo hii.
Benki hiyo pia imempongezea Rais Samia kwa jinsi anavyoimarisha sekta binafsi.