Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Wewe mpumbavu na mjinga wa mwisho.Angalia takwimu za Rais Samia.Zinashangaza ulimwengu.Wewe ni mfuasi wa sukuma gang.Mmeshindwa.Mama Samia ana miaka 10 mingine kutuongoza.utake usitake.
Wanapinga kuwa nchi yao inaendelea
 
Ongeza bidii, bado kuna nafasi zinahitaji watu
 
Mama ameshindwa kabla hajaanza.

Of course watu wa pwani hawajawahi kua viongozi wa maana.

Ni watu legelege, wamezoea maisha ya kitumwa, waarabu wamewatumikisha miaka na miaka.

Hii nchi kuendelea bado ina safari ndefu sana.
Wewe umekariri maisha na hakuna wa kukuamsha. Utaachwa uendelee kulala hivi hivi.
 
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]


Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
Hakika nchi imepaa kiuchumi na kuzidi nchi zingine zote maana hata Forbes wametutaja.
CCM oyeee
 
Hivi unapaswa kupitia kozi gani ili ujiunge praise and worship team ya wanasiasa na viongozi?
#unafiki ni kipaji
 
Shida ni kwamba amepoteza direction, Hana Legacy kama Rais. Hajulikani ni Maushungi au Meko anayejitahd kujinasibu nae-Angefanikiwa sana kama angetengeneza legacy yake alone.
Huo ni mtizamo wako, lkn sisi tunaona mama ni mchapakazi, wivu utawamaliza.
 
Naogopa kukuambia kuwa ww ni MAKU kama K zingine....

R.I.P JPM na tutankukumbuka kwa MEMA
 
Shida ni kwamba amepoteza direction, Hana Legacy kama Rais. Hajulikani ni Maushungi au Meko anayejitahd kujinasibu nae-Angefanikiwa sana kama angetengeneza legacy yake alone.
Legacy inatengenezwa taratibu bwanamkubwa waliotesha mizizi mingi
 
Subiri kulipa deni la taifa, ndio utajua hujui
 
Kampeni bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…