Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

Ningependa kujua Kwa mwezi tunakusanya shilingi ngapi?
Tukijua makusanyo tunaweza kujua hizo 10 Trillion zimepatikanaje Kwa miezi 6 zikafanya shughuli hizo za miradi tu na mambo mengine yakiendelea.
Tusijejikuta tunaingia Tena kwenye mikopo ya Benki za biashara huku tunachekacheka.
 
Unaongea vitu vya maana sana mkuu
 
Kwa kwel mama namshukuru sana kwenye barabara zetu za vumbi zmekuwa kama za lami.

Siyo kama yule pimbi alkuwa anajenga tu za lami na anatusahau sie wa huku vijijin

Sie madreva bajaji za mizigo tulkuwa tunaanguka sana lakin sahv tunabeba mpaka gunia 20

Mama Asante
 
Mama anatisha kwelikweli
 
Chawa
 
Wewe mpumbavu na mjinga wa mwisho.Angalia takwimu za Rais Samia.Zinashangaza ulimwengu.Wewe ni mfuasi wa sukuma gang.Mmeshindwa.Mama Samia ana miaka 10 mingine kutuongoza.utake usitake.
Daah
 
Hili andika hunipa faraja sana kwani naamini tunakwenda vizuri Sana
 
We proud on you Mama
 
Safi sana Rais Samia
 
Na amefanya yote na hakuna maiti za kwenye viroba,wasiojulikana, au mtu aliyepigwa risasi au kupotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…