Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

Je Mnapata muda wa kufatilia malalamiko ya vijana wengi kukosa mikopo mwaka huu...mmejiuliza kwanini mwaka huu idadi ya vijana walio appeal kukosa mikopo ni kubwa sana?Hadi fani ya udaktari vijana wamekosa mkopo why?
 
Shida ni kwamba amepoteza direction, Hana Legacy kama Rais. Hajulikani ni Maushungi au Meko anayejitahd kujinasibu nae-Angefanikiwa sana kama angetengeneza legacy yake alone.
Hebu be specific amepoteza direction kwenye nini?
 
tupe takwimu makusanyo kwa Sasa kwa mwezi ni tsh.ngapi!!?
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,

Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 niwawekwzaji wakubwa kabisa,

VIVA SAMIA VIVA||VIVA TANZANIA VIVA
 
 
#happy birthday Tanganyika
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

#MAMA KAZIIENDELEE
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…