Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Tanzania huenda ikaibua mabilionea wapya 100 miaka miwili ijayo,Tufanye kazi kwa bidii zaidi
 
😂😂hii nchi bn nenda udsm angalia wanafunzi walio report linganisha na miaka mingine ndo mtuambie wanafunz wamepewa vicheko daah nenda vyuo vya udaktari angalia walio report utaelewa
 
Samahani sana mkuu mimi Na mpendwa sana mama SSH ila mkuu nauliza tu Uko Darasa la ngapi mwaka huu Na je umri wako ni zaidi ya miaka 16?
 
Kama maambukizi ya COVID -19 yanaongezeka siku kwa siku, Lazima tukachanje kwa hiari ili kujinga,
 
Tanzania salaam sana na Rais Samia, Tuchape kazi
 
"Team JF "

Kama maambukizi ya COVID -19 yanaongezeka siku hadi siku, nilazima kuchanja kwa hiari ili kujinga,

#Kuwa Supa kachanje,
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Ninyi ni WAPUMBAVU kweli kweli. Mnatumia muda mwingi kusifia vitu vya kijinga kabisa badala ya kueleza ukweli.
Hapo ni sawa na kusema, MBUZI ana nguvu zaidi kuliko NG'OMBE, kitu ambacho hata mtoto mdogo anajua kuwa umemdanganya.
Unaweza kumlazimisha Punda kwenda kisimani, lakini huwezi kumlazimisha Punda huyo kunywa maji.
Ni mara ngapi Mama anakiri kwa kinywa chake kwamba, JPM alikuwa ana uwezo wa pekee katika utendaji kazi?
Acheni kujipendekeza.
 
Mradi wa Umeme wa Bwawa la Mwl Nyerere tu, hoi bin taabani. Je,tutatoboa kweli?
 
Hata mwaka mmoja tu tangu apokee kijiti haujaisha lakini bei za vitu zimepanda kwa zaidi ya 100%.
Badala ya kumsaidia Mama kuweka mambo vizuri, ninyi mnabaki kujipendekeza tu.
Mtu huwa anapendwa AUTOMATICALLY.
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…