Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

Tuko pamoja na Samia Suluh Hassan na tunamuombea sana kwa Mwenyezi Mungu Mhe. Raisi, hili suala la Mbowe ni kama amerithishwa chuki na mfumo tu. Mwenyezi Mungu ampatie busara kwenye kesi ya Freeman Mbowe.

#MboweSioGaidi
 
Unafiki umekuwa mtaji kwa wsomi wengi kuangaliwa na wana siasa.

Huyu akitoka UTASEMA UBAYA MWINGI tumeyaona kwa Magufuri, wale waliokuwa wanapiga mapambio kama wewe leo wanamnanga.

Kama wewe ni muungwana tuambie na mabaya yake, kama hakosei kama malaika pua SEMA.

Professionalism haipo Afrika, UNAFIKI ndio kazi.

Hakuna free makert ya mazao halafu unasifia tu.

Tozo inakata mtu bila kuangalia kipato chake, kimsingi maskini atafanywa masikini zaidi.

Good 500bl. Za Covid na ujenzi wa madarasa. Je upo uhalisia vijijini? Kwa taarifa huko simiyu watu wanachangishwa pesa, pamoja na nguvu kazi kwa hayo madarasa 3.

Yale mazuri anayofanya apewe pongezi
 
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,

#KAZIIENDELEE NA MAMA
 
Mkuu unafahamu tofauti kati ya Unafiki na Facts?
 
Hakika kama mambo yataendelea kuwa hivi Rais Samia Suluhu Hassan atashinda Uchaguzi Huru na Haki wa 2025 kwa zaidi ya 76%
 
Tanzania tumepata Rais kwelikweli
 
Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais wa kweli basi ni sasa, Mungu tujalie heri kuelekea 2025|30
 
Sio kila mtoto aliyefaulu kwenda chuo kikuu amepatiwa mkopo huo ni uongo. Mimi mtoto wangu amechaguliwa UDSM amenyimwa mkopo acheni sifa za uongo
 
Kama mambo ndio haya basi Tanzania kama kuna wakati tumepata Rais bora na wa kweli nadhani ni sasa,Tufanye kazi kwa bidii sana,

Hakika huyu Mama ni Mpango wa Mungu,

#WATANZANIA TUFANYE KAZI KWA BIDII
 
Mkuu, wastaafu mbona hujagusia?
 
" Kwa mwendo huu Tanzania tutafika tunakotaka kwenda tena kwa kuwahi sana, Hongera Mama Samia, Watanzania tuko nyuma yako We chapa kazi achana na Wasio na jema "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…