Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

Umeeleza vizuri Sana hii,
 
Wonderful
 
We proud
 
Tabia kusifia sifia kila mwenye madaraka ni tabia za kishamba sana na hata kwenye kuponda.

Usiwe unatoa sifa za rejareja au kuponda jumla jumla
 
Mwaka mmoja wa Mama
 
Mama ni levels nyingine kabisa
Mama ni level za takataka maana sio kwa kulazimisha bei kuendelea kupanda kiasi hicho. Ukiwa na tumirija huwezi kujua maisha ya mtaani yalivyo magumu kwa sasa... plus ujambazi wa tozo... yaani namtumia bi mkubwa hela ya panadol nakatwa akitaka kutoa anakatwa full double taxation huo ndio ujambazi mambo leo.
 
Takataka ni wewe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…