Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

Ni Mama Samia pekee kuonesha tofauti ya uongozi Tanzania,
 
Kwa kukopa Sanaa
Kulipa watalipa wanzake miaka ijayo,simple
 
Mama anaupiga mwingi sana
 
Huyu mama anajitahidi sana aise
 
Huyu mama anajitahidi sana aise
Sio yeye ni sisi Watanzania, sio fedha zake ni zetu watanzania, mikopo tutalipa watanzania sisi na vizazi vyetu. Sijajua mnatoa credit kwa misingi ipi???
 
Sio yeye ni sisi Watanzania, sio fedha zake ni zetu watanzania, mikopo tutalipa watanzania sisi na vizazi vyetu. Sijajua mnatoa credit kwa misingi ipi???
hata kupata hiyo mikopo kunahitaji kuaminiwa
 
hata kupata hiyo mikopo kunahitaji kuaminiwa
Inaaminiwa nchi sio mtu bro. Hakuna kipindi nchi inapigwa kama sasa hivi.... Tuombe tu hiyo mikopo itumike kwa usahihi.
 
Inaaminiwa nchi sio mtu bro. Hakuna kipindi nchi inapigwa kama sasa hivi.... Tuombe tu hiyo mikopo itumike kwa usahihi.
Nchi inapigwa na Nani? Hebu lete ushahidi hapa
 
Labda awe kiongozi wa familia yako na mke wako huyo muishi nae
 
Kuhusu dhahabu huo ni wizi kama wizi Mwingine Ndio maana hayo majizi yamekamatwa Kuhusu Mabehewa mama katoa ufafanuzi tayari
Hata mimi mwanzo nilisema Mama anaupiga sana. fuatilia inputs zangu humu. With time hawezi kuwa mkamilifu 100% mapungufu yake yatakapo onekana nitasema na mazuri yake pia nitasema. Siwezi kufungwa na mazuri tu ili nisione mabaya. NEVER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…