Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

Story za kujenga sgr.ikaisha.ziliishiaga wapi chamwino au kwa.wazee wa minyama chawa waandamizi
 
Samia hakamatiki hili liko wazi kabisa
 
Hongera sana Mama SAMIA
 
Huyu Mama anajitahidi sana
 
Hili andiko huwa nalipitia karibu kila siku, mwandishi Asante sana
 
Vigae vya sakafu bei ni mkasi si mchezo bidhaa zinapenda bei,
Fikiria tiles mfano 40×40 inatoka 33,000 inapanda mpaka 45,000.
Halafu kuna mwingine anaimba mapambio.
 
Safi sana mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…