Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

Hapo pa Tsh. 500M.
Mirada ya maendeleo.
Hebu wabunge watueleze wanaporudi bungeni kila mmoja wao ni kiasi vani qu mradi gani umejengwa ??

Barabara za vijijini na maharaja bado kitendawili.
Wasijetuambia wametoaa Shuka kwenye zahanati!

Kuweni wakweli hapa mleta mada umeandika sana je unauhakika yamefanyika!?
Au zimetafunwa kama zile za wizara ya fedha waziri mkuu Alitoa Agizo na hadi leo kimya. Hii ndio Tanzagiza.
 
Hiyo miaka 5 kwani aliipata hiyo pesa, Mwacheni mama wa watu achape kazi ila kama haya ni ya kweli basi kasi yake inatisha sana, kila hatua Dua
Kasi ipi au chungu kakikuta kimejaa na kusukwasukwa na kushindiliwa na kumwagika?

Kwa kazi ipi kwa mfano
 
Punguza kujipendekeza mmeanza kujitokeza akina Musiba wa awamu hii.

Tumpe muda maana miradi yote iyo hakuna uliokamilika, asilimia moja yq kodi watumishi wamekutana na 2500 kama myongeza nadhani amewapa ya vocha.
Watumishi mama yenu ameupiga mwingi mmepata pesa ya soda tano
Mpeni mikumi Tena.
 
Napenda sana akili za kiwango hichi,Napenda sana mtu anayeleta hoja zake kwa namba, Namba haijawi kusema uongo kamwe, Samia anavunja rekodi shida kubwa Team mwendazake inamvuta sana shati,

Kunywa soda mwandishi utalipa mwenyewe,
Aise ee
 
Watumishi mama yenu ameupiga mwingi mmepata pesa ya soda tano
Mpeni mikumi Tena.
Kwa lipi wakati mitaani huku watu hawana pesa hata ya kununulia mahitaji yao, we huoni doro ya maduka?

wamejaza bidhaa wanunuzi hakuna
 


Kila kitu kitafanyika mama mpeni muda na tumuunge mkono,
Haya anayoyafanya ni makubwa mno,

Tuendelee na mjadala kwa hoja sio matusi,
 
...tuendelee na mjadala kwa hoja, matusi hayajawahi kuwa suluhisho...
 

Kweli kila masika yana mbu wake Leo hii Samia kapata akina jingalao wake
 
Mkuu kojoa ulale
Kesho ukiamka kanunue luku ukatwe buku ya kodi ya jengo japo unaishi chumba kimoja cha kupanga.
Asie nacho hata kile kidogo alichonacho ataporwa,hapa ndipo mlegeza macho alipotufikisha
 
Tena yamefanyika hayo bila majigambo kwamba mimi sijui tofali au kutukanwa mtu kuna wengine kazi yao ilikuwa ni kuwasimanga wananchi na fedha za umma kudai ni zake.
 
Ndiyo maana katiba mpya ni hitaji muhimu sana kwa sasa Tanzania kwani maamuma wa nchi hii (kama mwanzisha usi huu) wanaamini kabisa rais ana pesa na si zetu wananchi walipa kodi. Na kwamba eti anaweza kuzitoa kama fadhila pale anapojisikia tu.
 
Nyie ni masikini tu mpa kufa kwenu. Yaani unashabikia 250,000 pumbavu kabisa,
 
Hii itakuwa Makunduchi gang bila shaka.
 
Mtiririko wa lugha kwenye huu uandishi ni Kama wa Mh Waziri vile
 
Mataga mmeamka na kasi kubwa sana
 
Hii bangi ya Arusha au ya Njombe?
 
Hapa mjini bado barabara ni vimbi hapo upanga city center ni vimbi, acheni ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…