Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

ngoja kwanza niteme mate halafu niendelee kusoma huu upupu
 
Yaano atawale daima kwa kuongezewa 250k?
Haumanishi wewe
 
Mama ameshindwa kabla hajaanza.

Of course watu wa pwani hawajawahi kua viongozi wa maana.

Ni watu legelege, wamezoea maisha ya kitumwa, waarabu wamewatumikisha miaka na miaka.

Hii nchi kuendelea bado ina safari ndefu sana.
Legelege hata kuongea, tangu lini Mzanzibar akawa kiongozi makini?
 
Nashukuru Mama aliisikia na akaacha kuiondoa tozo matokeo yake leo watu wamezoea na nchi inapata mapato kwaajili ya maendeleo yangu na yako,
Mashaka yangu ni kuwa, wengi wenu ni wakongwe humu JF ila mnaona aibu kuyasema haya mnayoyasema kwa ID zenu kongwe, imekuaje tena? ID mpya nyingi za kumsifu mama, hamuamini mnachosifia?

Tozo za nyumba zinaanza 20/08/2021. Kila mwezi ni 1,000 ingawa lengo ni kulipishwa 10,000 kwa mwaka. Zile nyumba zenye zaidi ya mita moja wajipange!
 
Wanaume wa Dar, anajivunia mshahara wa mkewe
 
Mkuu hapo kwenye kicheko cha barabarani in fact ukiacha mil.500 kila Jimbo hizo bil.322 zote zimeenda Tarura ,hiyo bajeti ya madarasa nk ni fedha tofauti.

Kana kwamba haitoshi huko Dom ujenzi umeshika kasi wa makao makuu bil.300 zimemwagwa,hapo bado mamiradi ya Wizara mbalimbali,afya,elimu,ujenzi, Tamisemi kote huko kuko busy.

Kwenye kilimo Mazao yanatoka,kiufupi Maza yuko vizuri hakuna propaganda za kijinga
 

..WOW!!

..hold on!!

..bilioni 300 kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu dodoma.

..trillion 2 kwa ajili ya ununuzi wa ndege toka kwa mabeberu.

..bajeti ya kilimo na huenda isipatikane yote ni billion 294.

..vipaumbele vyetu haviko sawasawa.

cc Chige, Richard
 
wewe lazima upo wizara ya fedha maana hizi taarifa hawezi ku nazo yeyote yule
 
Hii nchi ngumu sana,

Mimi nimeandika mambo halisi yaliyofanywa na Rais wa nchi tena kwa muda mchache sana,Wewe unatukana tu

Mnaotukana bila kukanusha wala kukubali nilichoandika mnaani gani?

Sema sio kweli SGR haijengwi,

Sema sio kweli SG haijengwi,

Sema sio kweli hajatoa ajira,

Sema sio kweli watu wamepandishwa madaraja,

Sema sio kweli daraja la Busisi na Nyerere halijengwi,

Sema sio kweli tozo 232 zimefutwa,

Sema sio kweli VRF ya 6% bado ipo,

Sema PAYE sio 8%

Sema sio kweli wanafunzi 10,000 wamelamba mikopo,

Sema sio kweli SGR Isaka -Mwanza Km 341 haijaanza kwa 3.02trl ,

Sema sio kweli SGR Dar-Moro Km 300 iko 77% na wakandarasi wamelipwa Cash 2.7trl,

Sema sio kweli kipande cha Moro-Dodoma km 442 kiko kwenye 30% na watu wanalipwa cash Tshs 4.4trl,

Sema sio kweli SG mama kashindwa kutoa US$2.8BL ,

Sema sio kweli Nyasi za bandia VAT yake imefutwa,

Sema sio kweli kurasimisha ardhi sasa ni 1% tu,

Sema sio kweli ndege hazinunuliwi,

Sema sio kweli meli hazinunuliwi,

Sema sio kweli Mama amemaliza mpango wa Hoima na vijana 10,000 watalamba ajira,

NJOONI NA HOJA SIO POROJO,

MAMA ANAVUNJA REKODI ZOTE ZILIZOWEKWA KAMA UNABISHA SEMA WAPI KAKWAMA.
 
Nadhani kuna spinning ya hali ya juu yafanyika.
 
wewe lazima upo wizara ya fedha maana hizi taarifa hawezi ku nazo yeyote yule
 
Yani wewe ni wakuzabwa kofi moja mpaka network yako irudi
 
Nadhani kuna spinning ya hali ya juu yafanyika.

..kwani ujenzi wa Dodoma unatumia kiasi gani?

..Ninavyoelewa mimi ni kwamba ujenzi huo unatumia fedha zetu wenyewe.

..Na ni fedha nyingi sana ambazo zingeweza kuelekezwa kwenye miradi inayogusa wananchi walio wengi.

..Ni aibu kwa nchi yetu kutumia trillion 2 kununua ndege, au billion 300 kujenga mji mkuu, wakati wizara ya kilimo ina bajeti ya billion 294.
 
Inahitaji kujichetua kidogo kuweza msifia mama
 
Ndo maana nasema hizo ni jitihada za kufanya spinning.

Dodoma haipaswi kujengwa kwa fedha hizo.

RC wa Dodoma lazima tafahamu hii kwanini ienezwe kwa mtindo huu?

Hatuwezi kuambiwa tunaongezewa tozo na hapohapo zipo fedha za kugharamia miradi kama ujenzi wa Dodoma.

Narudia kusisita kwa mama aangalie sana ushauri wa wapambe wenye nia tofauti kabisa na serikali ilopita ambayo iliweza kukusanya kodi na kulipia mahitaji ya wananchi bila kuhangaika.

Tuelezwe serikali ilopita ilifanyaje kuhakikisha fedha zinaenda kwenye elimu, walimu wanalipwa mishahara na watumishi wanaliowa mishahara yao ifikapo mwisho wa mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…