PostGE2025 Rais Samia angekuwa na Haya asingefurahia uchaguzi wa 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,743
Reaction score
6,240
Binadamu wa kawaida tumeumbwa na haya, sasa unapokutana na binadamu ambae amekosa haya kabisa hata mbele ya umma na kwa ulimwengu huu wa technolojia, basi huyo ujui ni tatizo kubwa sana.
Yaweza kua anauwezo mdogo sana wa akili au anashida ya kiakili iliomkumba.

Nasema hivi kwa sababu, katika hali ya kawaida, huyu samia asingetaka hata ku entertain huu uchafuzi, atleast kama angekua na haya.
Lakini anakwambia watu wameanza maandamano saa nne sijuj saa tano, wakati ambao watu washajipeleka kupiga kura.
Na kama haitoshi, akasema "mungu ni mkubwa' eeh mungu yupi?

Sasa, japo iko wazi, ngoja tuone uhuni wa huyu mtu step by steps,

1. Watanzania waligawanyika, waliosema watatoka na waliosema watatiki. Tayari wapiga kura wamepungua.
2. Waliosema watatiki, wapo walioona hakuna haja ya kujisumbua mana ccm lazima ishinde, tayari wanaotiki wamepungua
3. Ambao walidhamiria kwenda kutiki, walisubiri kwanza kusikilizia kama watu wataandamana, hivyo hawakutoka asubuhi, kundi hili limepungua tena,
4. Wale waliotoka hivyo hivyo asubuhi wakapiga kura, baada ya kusikia waandamanaji, mabox ya kura yaliachwa yakizagaa au hata kuchomwa moto, tayari zimepungua kura.
5. Waliobeba mabox walishindwa kuhesabu kutokana na hali ilivyokua.

Sasa huyu anasemea kura gani? Kama anaweza danganya hivyi mbele ya umma, vipi huko ndani wanafanya mangapi?

Huyu mtu anatatizo kubwa sana la kiakili, she is totally deluded.
 
Endeleeni kubwabwaja na its too late..

Uchaguzi ulishafanyika tumepata uongozi hadi tena mwaka 2030..

Endeleeni kupoteza muda
 
Atafika kweli 2030 kiongozi?Ni mawazo tu yenye swali ndani yake.Sio utabiri wala unabii, lakini kuna kitu kipo njiani.Mungu atuweke tufike wote salama hiyo 2030 tuone kama hii comment yako itakuwa bado relevant
 
Ukwel ndio huo, hata kama mtu ataupinga ila moyon ukwel anao! Marahii Tanzania tumeshuhudia uhuni wa wazi wazi. Hao wanaopinga wizi, wao ndio majizi wakubwa, majiz wa majizi. Siku ukiambiwa wakuu wa polisi ndio wamiliki wa magenge ya majambazi, usibish maana tumejionea wenyewe kwa macho yetu.
 
Izi nyuzi ndo zinafanya tusitumie Jf bila Vpn.!!
Mtoa mada hauoni wewe ndo una tatizo la kisaikolojia??!!
 
Binafsi nilishasemaga kitambo tu kuwa huyu AJUZA ana matatizo ya AKILI....na mpaka sasa hilo limejithibitisha mara nyingi sana
 
Binadamu wa kawaida tumeumbwa na haya, sasa unapokutana na binadamu ambae amekosa haya kabisa hata mbele ya umma na kwa ulimwengu huu wa technolojia, basi huyo ujui ni tatizo kubwa sana.
Yaweza kua anauwezo mdogo sana wa akili au anashida ya kiakili iliomkumba.

Nasema hivi kwa sababu, katika hali ya kawaida, huyu samia asingetaka hata ku entertain huu uchafuzi, atleast kama angekua na haya.
Lakini anakwambia watu wameanza maandamano saa nne sijuj saa tano, wakati ambao watu washajipeleka kupiga kura.
Na kama haitoshi, akasema "mungu ni mkubwa' eeh mungu yupi?

View attachment 3516561
Sasa, japo iko wazi, ngoja tuone uhuni wa huyu mtu step by steps,

1. Watanzania waligawanyika, waliosema watatoka na waliosema watatiki. Tayari wapiga kura wamepungua.
2. Waliosema watatiki, wapo walioona hakuna haja ya kujisumbua mana ccm lazima ishinde, tayari wanaotiki wamepungua
3. Ambao walidhamiria kwenda kutiki, walisubiri kwanza kusikilizia kama watu wataandamana, hivyo hawakutoka asubuhi, kundi hili limepungua tena,
4. Wale waliotoka hivyo hivyo asubuhi wakapiga kura, baada ya kusikia waandamanaji, mabox ya kura yaliachwa yakizagaa au hata kuchomwa moto, tayari zimepungua kura.
5. Waliobeba mabox walishindwa kuhesabu kutokana na hali ilivyokua.

Sasa huyu anasemea kura gani? Kama anaweza danganya hivyi mbele ya umma, vipi huko ndani wanafanya mangapi?

Huyu mtu anatatizo kubwa sana la kiakili, she is totally deluded.
Ndo mjifunze kutokuja kumpa nchi mwanamke tena.

Najua hata ccm wanajutia sana kuongozwa na samia ila hawana jinsi.

Kawaida mwanamke ni mbinafsi sana, hata mama zetu na wake zetu majumbani.

Ubinafsi ukikolea yeye anachokomaa nacho ni kulinda tu maslahi yake.

Hata majumbani unakuta mwanamke anajua fika hela inatoka kwa baba kisha inapitia mikononi mwake na inafikia kwa mtoto, lkn mwanamke huyohuyo yuko radhi kumsemea maneno mabaya mwanaume ili tu mtoto akikua ajue mama ndie kipenzi chake, hataki kushare upendo wa mtoto na mume wake.

Shida ya binadamu wa sikuhizi tu-wabishi sana kama ndugu yetu Smart911 anavosemaga. Tunataka hadi kubishana na nature
 
huyu mama hasingekuwa na uangalizi kuna siku angetoka kavaa mchupi kukichwa, mtu aliyetimamu hawezi kuongea anayoongea huyu mama.
Nipe muda kidogo tu au tunza hii comment.Kuna siku huyu bibi atakuja kusema waliokuwa wanamshauri kufanya aliyofanya hasa mauaji ya raia.Hayuko sawa(siku inakuja atasema kwenye hotuba zake kuwa sio yeye bali kuna watu walikaa wakamwambia afanye alivyofanya,labda wamuondoshe mapema)
 
Binadamu wa kawaida tumeumbwa na haya, sasa unapokutana na binadamu ambae amekosa haya kabisa hata mbele ya umma na kwa ulimwengu huu wa technolojia, basi huyo ujui ni tatizo kubwa sana.
Yaweza kua anauwezo mdogo sana wa akili au anashida ya kiakili iliomkumba.

Nasema hivi kwa sababu, katika hali ya kawaida, huyu samia asingetaka hata ku entertain huu uchafuzi, atleast kama angekua na haya.
Lakini anakwambia watu wameanza maandamano saa nne sijuj saa tano, wakati ambao watu washajipeleka kupiga kura.
Na kama haitoshi, akasema "mungu ni mkubwa' eeh mungu yupi?

View attachment 3516561
Sasa, japo iko wazi, ngoja tuone uhuni wa huyu mtu step by steps,

1. Watanzania waligawanyika, waliosema watatoka na waliosema watatiki. Tayari wapiga kura wamepungua.
2. Waliosema watatiki, wapo walioona hakuna haja ya kujisumbua mana ccm lazima ishinde, tayari wanaotiki wamepungua
3. Ambao walidhamiria kwenda kutiki, walisubiri kwanza kusikilizia kama watu wataandamana, hivyo hawakutoka asubuhi, kundi hili limepungua tena,
4. Wale waliotoka hivyo hivyo asubuhi wakapiga kura, baada ya kusikia waandamanaji, mabox ya kura yaliachwa yakizagaa au hata kuchomwa moto, tayari zimepungua kura.
5. Waliobeba mabox walishindwa kuhesabu kutokana na hali ilivyokua.

Sasa huyu anasemea kura gani? Kama anaweza danganya hivyi mbele ya umma, vipi huko ndani wanafanya mangapi?

Huyu mtu anatatizo kubwa sana la kiakili, she is totally deluded.
Binadamu wa kawaida tumeumbwa na haya, sasa unapokutana na binadamu ambae amekosa haya kabisa hata mbele ya umma na kwa ulimwengu huu wa technolojia, basi huyo ujui ni tatizo kubwa sana.
Yaweza kua anauwezo mdogo sana wa akili au anashida ya kiakili iliomkumba.

Nasema hivi kwa sababu, katika hali ya kawaida, huyu samia asingetaka hata ku entertain huu uchafuzi, atleast kama angekua na haya.
Lakini anakwambia watu wameanza maandamano saa nne sijuj saa tano, wakati ambao watu washajipeleka kupiga kura.
Na kama haitoshi, akasema "mungu ni mkubwa' eeh mungu yupi?

View attachment 3516561
Sasa, japo iko wazi, ngoja tuone uhuni wa huyu mtu step by steps,

1. Watanzania waligawanyika, waliosema watatoka na waliosema watatiki. Tayari wapiga kura wamepungua.
2. Waliosema watatiki, wapo walioona hakuna haja ya kujisumbua mana ccm lazima ishinde, tayari wanaotiki wamepungua
3. Ambao walidhamiria kwenda kutiki, walisubiri kwanza kusikilizia kama watu wataandamana, hivyo hawakutoka asubuhi, kundi hili limepungua tena,
4. Wale waliotoka hivyo hivyo asubuhi wakapiga kura, baada ya kusikia waandamanaji, mabox ya kura yaliachwa yakizagaa au hata kuchomwa moto, tayari zimepungua kura.
5. Waliobeba mabox walishindwa kuhesabu kutokana na hali ilivyokua.

Sasa huyu anasemea kura gani? Kama anaweza danganya hivyi mbele ya umma, vipi huko ndani wanafanya mangapi?

Huyu mtu anatatizo kubwa sana la kiakili, she is totally deluded.
 
Nipe muda kidogo tu au tunza hii comment.Kuna siku huyu bibi atakuja kusema waliokuwa wanamshauri kufanya aliyofanya hasa mauaji ya raia.Hayuko sawa(siku inakuja atasema kwenye hotuba zake kuwa sio yeye bali kuna watu walikaa wakamwambia afanye alivyofanya,labda wamuondoshe mapema)
kwa trend yake hii nakubaliana na wewe 100%, tangia aapishwe vichakani huko, kila anapofungua mdomo ni vituko vituko, kama mbele ya hadhira ni hvi sijui huko kwenye vikao vyao vya gamboshi atakuwa anahara nn?
 
Back
Top Bottom