Atafika kweli 2030 kiongozi?Ni mawazo tu yenye swali ndani yake.Sio utabiri wala unabii, lakini kuna kitu kipo njiani.Mungu atuweke tufike wote salama hiyo 2030 tuone kama hii comment yako itakuwa bado relevantEndeleeni kubwabwaja na its too late..
Uchaguzi ulishafanyika tumepata uongozi hadi tena mwaka 2030..
Endeleeni kupoteza muda
Ndo mjifunze kutokuja kumpa nchi mwanamke tena.Binadamu wa kawaida tumeumbwa na haya, sasa unapokutana na binadamu ambae amekosa haya kabisa hata mbele ya umma na kwa ulimwengu huu wa technolojia, basi huyo ujui ni tatizo kubwa sana.
Yaweza kua anauwezo mdogo sana wa akili au anashida ya kiakili iliomkumba.
Nasema hivi kwa sababu, katika hali ya kawaida, huyu samia asingetaka hata ku entertain huu uchafuzi, atleast kama angekua na haya.
Lakini anakwambia watu wameanza maandamano saa nne sijuj saa tano, wakati ambao watu washajipeleka kupiga kura.
Na kama haitoshi, akasema "mungu ni mkubwa' eeh mungu yupi?
View attachment 3516561
Sasa, japo iko wazi, ngoja tuone uhuni wa huyu mtu step by steps,
1. Watanzania waligawanyika, waliosema watatoka na waliosema watatiki. Tayari wapiga kura wamepungua.
2. Waliosema watatiki, wapo walioona hakuna haja ya kujisumbua mana ccm lazima ishinde, tayari wanaotiki wamepungua
3. Ambao walidhamiria kwenda kutiki, walisubiri kwanza kusikilizia kama watu wataandamana, hivyo hawakutoka asubuhi, kundi hili limepungua tena,
4. Wale waliotoka hivyo hivyo asubuhi wakapiga kura, baada ya kusikia waandamanaji, mabox ya kura yaliachwa yakizagaa au hata kuchomwa moto, tayari zimepungua kura.
5. Waliobeba mabox walishindwa kuhesabu kutokana na hali ilivyokua.
Sasa huyu anasemea kura gani? Kama anaweza danganya hivyi mbele ya umma, vipi huko ndani wanafanya mangapi?
Huyu mtu anatatizo kubwa sana la kiakili, she is totally deluded.
Izi nyuzi ndo zinafanya tusitumie Jf bila Vpn.!!
Mtoa mada hauoni wewe ndo una tatizo la kisaikolojia??!!
wewe ndiye unatatizo la kisaikolojia angalia Viongozi wako wameshapigwa burn ya kusafiriIzi nyuzi ndo zinafanya tusitumie Jf bila Vpn.!!
Mtoa mada hauoni wewe ndo una tatizo la kisaikolojia??!!
Nipe muda kidogo tu au tunza hii comment.Kuna siku huyu bibi atakuja kusema waliokuwa wanamshauri kufanya aliyofanya hasa mauaji ya raia.Hayuko sawa(siku inakuja atasema kwenye hotuba zake kuwa sio yeye bali kuna watu walikaa wakamwambia afanye alivyofanya,labda wamuondoshe mapema)huyu mama hasingekuwa na uangalizi kuna siku angetoka kavaa mchupi kukichwa, mtu aliyetimamu hawezi kuongea anayoongea huyu mama.
Binadamu wa kawaida tumeumbwa na haya, sasa unapokutana na binadamu ambae amekosa haya kabisa hata mbele ya umma na kwa ulimwengu huu wa technolojia, basi huyo ujui ni tatizo kubwa sana.
Yaweza kua anauwezo mdogo sana wa akili au anashida ya kiakili iliomkumba.
Nasema hivi kwa sababu, katika hali ya kawaida, huyu samia asingetaka hata ku entertain huu uchafuzi, atleast kama angekua na haya.
Lakini anakwambia watu wameanza maandamano saa nne sijuj saa tano, wakati ambao watu washajipeleka kupiga kura.
Na kama haitoshi, akasema "mungu ni mkubwa' eeh mungu yupi?
View attachment 3516561
Sasa, japo iko wazi, ngoja tuone uhuni wa huyu mtu step by steps,
1. Watanzania waligawanyika, waliosema watatoka na waliosema watatiki. Tayari wapiga kura wamepungua.
2. Waliosema watatiki, wapo walioona hakuna haja ya kujisumbua mana ccm lazima ishinde, tayari wanaotiki wamepungua
3. Ambao walidhamiria kwenda kutiki, walisubiri kwanza kusikilizia kama watu wataandamana, hivyo hawakutoka asubuhi, kundi hili limepungua tena,
4. Wale waliotoka hivyo hivyo asubuhi wakapiga kura, baada ya kusikia waandamanaji, mabox ya kura yaliachwa yakizagaa au hata kuchomwa moto, tayari zimepungua kura.
5. Waliobeba mabox walishindwa kuhesabu kutokana na hali ilivyokua.
Sasa huyu anasemea kura gani? Kama anaweza danganya hivyi mbele ya umma, vipi huko ndani wanafanya mangapi?
Huyu mtu anatatizo kubwa sana la kiakili, she is totally deluded.
Binadamu wa kawaida tumeumbwa na haya, sasa unapokutana na binadamu ambae amekosa haya kabisa hata mbele ya umma na kwa ulimwengu huu wa technolojia, basi huyo ujui ni tatizo kubwa sana.
Yaweza kua anauwezo mdogo sana wa akili au anashida ya kiakili iliomkumba.
Nasema hivi kwa sababu, katika hali ya kawaida, huyu samia asingetaka hata ku entertain huu uchafuzi, atleast kama angekua na haya.
Lakini anakwambia watu wameanza maandamano saa nne sijuj saa tano, wakati ambao watu washajipeleka kupiga kura.
Na kama haitoshi, akasema "mungu ni mkubwa' eeh mungu yupi?
View attachment 3516561
Sasa, japo iko wazi, ngoja tuone uhuni wa huyu mtu step by steps,
1. Watanzania waligawanyika, waliosema watatoka na waliosema watatiki. Tayari wapiga kura wamepungua.
2. Waliosema watatiki, wapo walioona hakuna haja ya kujisumbua mana ccm lazima ishinde, tayari wanaotiki wamepungua
3. Ambao walidhamiria kwenda kutiki, walisubiri kwanza kusikilizia kama watu wataandamana, hivyo hawakutoka asubuhi, kundi hili limepungua tena,
4. Wale waliotoka hivyo hivyo asubuhi wakapiga kura, baada ya kusikia waandamanaji, mabox ya kura yaliachwa yakizagaa au hata kuchomwa moto, tayari zimepungua kura.
5. Waliobeba mabox walishindwa kuhesabu kutokana na hali ilivyokua.
Sasa huyu anasemea kura gani? Kama anaweza danganya hivyi mbele ya umma, vipi huko ndani wanafanya mangapi?
Huyu mtu anatatizo kubwa sana la kiakili, she is totally deluded.
kwa trend yake hii nakubaliana na wewe 100%, tangia aapishwe vichakani huko, kila anapofungua mdomo ni vituko vituko, kama mbele ya hadhira ni hvi sijui huko kwenye vikao vyao vya gamboshi atakuwa anahara nn?Nipe muda kidogo tu au tunza hii comment.Kuna siku huyu bibi atakuja kusema waliokuwa wanamshauri kufanya aliyofanya hasa mauaji ya raia.Hayuko sawa(siku inakuja atasema kwenye hotuba zake kuwa sio yeye bali kuna watu walikaa wakamwambia afanye alivyofanya,labda wamuondoshe mapema)
Hafiki 2030. Hata kwa kumroga tu atapatwa na balaa.Atafika kweli 2030 kiongozi?Ni