Rais Samia anza kuandaa mlio utakaolia baada ya kuachia Ikulu

Kwa madudu haya Rais Samia
Hayo yooote uliyoandika; na bado unamtukuza kuwa "Rais Samia"?

Nasema hivi, wewe mkuu 'Etwege', historia yako inafahamika vizuri humu JF kwa muda mrefu.

Nataka leo nikupongeze kwa andiko lako hili, ambalo nashawishika nitumie muda kidogo baadae niungane nawe katika kuonyesha ufedhuri wa huyu mwanamke shetani kabisa..

Umepangilia vizuri hoja zako; lakini bado haitoshi kufanya waTanzania wawatue mzigo wenu nyote ndani ya hicho chama mlichowakabidhi watu waovu hawa.
Nyote ambao bado mnajitambulisha kuwa wana CCM, lawama inawaangukia nyote kwa kushindwa kwenu kuzuia mashetani hawa kukitumia hicho chama kuvuruga nchi yetu.

Mnaolilalia wakati huu mkiwa mmetupwa na huyo shetani, mkitupiwa uteuzi hatutawasikia tena; huo ndio ubovu wenu wa jumla ndani yenu.
 
Huyu Samuya akitusua June sijui ..!!!
 
Mtu kama wewe utaammbiwa nini ili uweze kutambua kuwa Samia ni disaster juu ya nchi hii?

Wewe unaona mafanikio tu kila mahali, hakuna hata eneo alilofeli?

Unachoona wewe ni mafanikio kila anachogusa huyu mfugaji wako!

Ukiwa binaadam mwenye akili timamu na kumwona Samia kuwa kiongozi wa kumtetea juu ya jambo lolote; hiyo akili timamu ni lazima itakuwa na kasoro kubwa ndani yake!
 
Dua la kuku hili halimpati mwewe. Kulia utaendelea kulia mwenyewe, uRais siyo nafasi ya mchezo. Huyo siyo mwenzio. Ana security na mafao hadi mwisho wa maisha yake.
Haya matumaini hewa
Dua la kuku hili halimpati mwewe. Kulia utaendelea kulia mwenyewe, uRais siyo nafasi ya mchezo. Huyo siyo mwenzio. Ana security na mafao hadi mwisho wa maisha yake.
Matumaini FEKI mliyobaki nayo, ya kuitegemea mitutu ya bunduki kuwalinda. Ni mitutu hiyo hiyo ndiyo itakayowamaliza kwani hamna hati miliki juu yake.
 
Huyu mpiga ngoma wa Luhaga Mpina, waliishi kifalme awamu ya tano hii ya sita wamejikuta wakigeuka wanyonge baada ya mishe zao zote kuingia michanga.
Yaani hata Luhaga Mpina mnamgwaya; huyu Samia mnamsifia kitu gani?

Hizo kura milioni 31 zilitoka wapi?

Hivi nyinyi watu bado mnajiona kuwa na sifa yoyote ya kumtetea mtu mwovu aina ya Samia?

Tuwaeleweje nyie?
 
Nyie mliamua msipige kura bali mvuruge vituo vya kupiga kura ili mje mtoe sababu za ******* kama hizi??

Tumewaambia uchaguzi tarehe 29/10/25, nyie mnasema No Reform No Elecrions. Sisi tunemchagua iwe kwa kura 100 au milioni 32, lakini ameshinda.

Endeleeni kulia hadi 2030, nchi inasonga mbele
 
Nyie tunawajua ni negative kwa kila kitu wala hatuwasikilizi. Treni imetoka hiyo tukutane 2030 tena kama utakuwa hai. Msitupotezee muda

Kila ukiandika humu ni lawama na kejeli tu, tumewazoea, hamtukondeshi. Cry more
 
Haya matumaini hewa

Matumaini FEKI mliyobaki nayo, ya kuitegemea mitutu ya bunduki kuwalinda. Ni mitutu hiyo hiyo ndiyo itakayowamaliza kwani hamna hati miliki juu yake.
Kwani kazi ya bunduki ni nini? Lile siyo jembe la kulimia shamba? Au siyo mdoli wa kupigia selfie.

Wewe utaugua magonjwa ya akili kwa namna ambayo akili yako 24/7 inaamini kuwa Samia atatoka au atakufa kabla ya 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…