Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Ukiona mtu analalamika maisha yake yote ujue huyo ndio tatizo.Msimpangie jinsi ya kuishi.
Hata miezi 6 hajamaliza lawama juu ya lawama
Kikwete lawama, magufuli lawama,Samia lawama.
Jamani mnataka muongozwe na nani
Mimi nipo hapa Entebe AirportKaondoka kimya kimya halafu wewe umejuwaje?
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoweri Kaguta Museveni.
Ikumbukwe jana ubalozi wa Ujerumani inchini Uganda ulilazimika kufuta Post yake kwenye ukurasa wake wa Facebook, Kurasa huo uliandikwa Salamu za kumpongeza Mseven kwa ushindi aliouoata kwenye uchaguzi ulipita, Salamu hizo zilizotolewa na Kiongozi wa Ujerumani Mama Angela Merkel.
Ubalozi uli huo ulifuta post hiyo baada ya wananchi kuonyesha hasira zao kwa maneno makali na matusi hali iliyopelekea kufutwa kwa post hiyo.
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka asubuhi hii kwenda nchini Uganda ambapo leo tarehe 12 Mei, 2021 atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa sherehe wa Kololo Jijini Kampala.
Acha wivu weweee,ngoja mama atafute hela ya mboga kwanza ili mzee aendelee kunona...Mama ana matatizo siyo bure, kutwa kuzurura tu hata mumewe anayo kazi.
Anataka rais akiondoka ampigie yeye simu kwanza.Kaondoka kimya kimya halafu wewe umejuwaje?
Jelous imekufanya hadi umechapiaHamnamo raid hapa
Wewe endelea kutayarisha mashamba ya mibuni maana mwezi wa mavuno unakaribiaUkiona mtu analalamika maisha yake yote ujue huyo ndio tatizo.
Anaenda kuwakomesha matagaAnaenda kujifunza nini kwa dikteta?
Jpm wako kwanini alishindwa kuwafanya hao watu wako wa dodoma wanywe maji masafi japo kidogo?Mama mbona hatulii kabisa ofisini hizo per diem watu wanajitafunia tu burebure ili hali kuna wananchi masakini huko dodoma wanakunywa maji yenye tope.
Hakika JPM ataendelea kuishi mioyoni mwa watanzania mengi.
Anawakomesha mataga eti ee?Alinunua nguo zake nyiingi na handbags na viatu sasa atavivaa lini? Wacha aende, Leo sijui atabadili Mara ngapi kwa siku! Nenda Mama, wanateseka huku! Usisahau kurudi na mbegu za kitu cha India.
Si anawakomesha mataga au umesahau?Ndiyo maana kaondoka kimya kimya anajua kuwa watanzania hawange furahishwa
Tukumbushe mkuu hii ni safari ya ngapi??Dah...hizi Safari mnaandika lakini? Maana za JK tulizihesabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ameenda kuwaletea bavicha hela azimwage mtaani!
kuwa na heshimaAlinunua nguo zake nyiingi na handbags na viatu sasa atavivaa lini? Wacha aende, Leo sijui atabadili Mara ngapi kwa siku! Nenda Mama, wanateseka huku! Usisahau kurudi na mbegu za kitu cha India.
Safari za bwana ako pia unaziandika sehemu dadaDah...hizi Safari mnaandika lakini? Maana za JK tulizihesabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ndo raha yakutunza afya ,moyo mwenyewe mbovu,kifafa mwenyewe ,utasafirije angani...kitendo cha kuruka kutoka usawa wabahari kwenda juu kunahtaji afya .....acheni mama atimize wajib wake....kikubwa tunamshukuru katuondolea udikteta tuko huru kabla ya sheria kuchukua mkondo wake kwa kosa halali sio yakubumba ,upo?Mama naona hataki kukaimisha safari za nje kabisa.
wasukuma mna hasira sana na Mama , mtavimba masaburi ayo kwa hasira , misukule ya dikteta mwiziMama ana matatizo siyo bure, kutwa kuzurura tu hata mumewe anayo kazi.
Misukule ya dikteta mwehu mtapata tabu sana awamu hii,, wasukuma mna chuki sana na mama, na hamtokaa mshike madaraka kwenye hii nchi, tushajifunza kituMama ameona bora akatembee Uganda ila sio kwenda kutatua kero ya Mizigo pale bandarini..
Kweli kupanga ni kuchagua, and to her its seems Sherehe ni muhimu kuliko uhai wa bandari yetu..
Mapema sn kumsifiando raha yakutunza afya ,moyo mwenyewe mbovu,kifafa mwenyewe ,utasafirije angani...kitendo cha kuruka kutoka usawa wabahari kwenda juu kunahtaji afya .....acheni mama atimize wajib wake....kikubwa tunamshukuru katuondolea udikteta tuko huru kabla ya sheria kuchukua mkondo wake kwa kosa halali sio yakubumba ,upo?
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app