Rais Samia aondoka kwenda Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Yoweri Museveni

Rais Samia aondoka kwenda Uganda kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Yoweri Museveni

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu, Ameondoka leo kwenda Uganda kuhudhuria Sherehe za Kumuapisha Rais alishinda uchaguzi inchini Uganda, Yoweri Kaguta Museveni.

Ikumbukwe jana ubalozi wa Ujerumani inchini Uganda ulilazimika kufuta Post yake kwenye ukurasa wake wa Facebook, Kurasa huo uliandikwa Salamu za kumpongeza Mseven kwa ushindi aliouoata kwenye uchaguzi ulipita, Salamu hizo zilizotolewa na Kiongozi wa Ujerumani Mama Angela Merkel.

Ubalozi uli huo ulifuta post hiyo baada ya wananchi kuonyesha hasira zao kwa maneno makali na matusi hali iliyopelekea kufutwa kwa post hiyo.

=======

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka asubuhi hii kwenda nchini Uganda ambapo leo tarehe 12 Mei, 2021 atahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni katika uwanja wa sherehe wa Kololo Jijini Kampala.

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Mama mbona hatulii kabisa ofisini hizo per diem watu wanajitafunia tu burebure ili hali kuna wananchi masakini huko dodoma wanakunywa maji yenye tope.

Hakika JPM ataendelea kuishi mioyoni mwa watanzania mengi.
Jpm wako kwanini alishindwa kuwafanya hao watu wako wa dodoma wanywe maji masafi japo kidogo?
 
Alinunua nguo zake nyiingi na handbags na viatu sasa atavivaa lini? Wacha aende, Leo sijui atabadili Mara ngapi kwa siku! Nenda Mama, wanateseka huku! Usisahau kurudi na mbegu za kitu cha India.
Anawakomesha mataga eti ee?
 
Mama naona hataki kukaimisha safari za nje kabisa.
ndo raha yakutunza afya ,moyo mwenyewe mbovu,kifafa mwenyewe ,utasafirije angani...kitendo cha kuruka kutoka usawa wabahari kwenda juu kunahtaji afya .....acheni mama atimize wajib wake....kikubwa tunamshukuru katuondolea udikteta tuko huru kabla ya sheria kuchukua mkondo wake kwa kosa halali sio yakubumba ,upo?

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Mama ameona bora akatembee Uganda ila sio kwenda kutatua kero ya Mizigo pale bandarini..
Kweli kupanga ni kuchagua, and to her its seems Sherehe ni muhimu kuliko uhai wa bandari yetu..
 
Mama ameona bora akatembee Uganda ila sio kwenda kutatua kero ya Mizigo pale bandarini..
Kweli kupanga ni kuchagua, and to her its seems Sherehe ni muhimu kuliko uhai wa bandari yetu..
Misukule ya dikteta mwehu mtapata tabu sana awamu hii,, wasukuma mna chuki sana na mama, na hamtokaa mshike madaraka kwenye hii nchi, tushajifunza kitu
 
ndo raha yakutunza afya ,moyo mwenyewe mbovu,kifafa mwenyewe ,utasafirije angani...kitendo cha kuruka kutoka usawa wabahari kwenda juu kunahtaji afya .....acheni mama atimize wajib wake....kikubwa tunamshukuru katuondolea udikteta tuko huru kabla ya sheria kuchukua mkondo wake kwa kosa halali sio yakubumba ,upo?

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Mapema sn kumsifia
 
Back
Top Bottom