Rais Samia aorodheshwa kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi Barani Afrika

Rais Samia aorodheshwa kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi Barani Afrika

ROYAL TOUR,Wamebuni mbinu ya kuzoa fedha ikulu. Mwiongoni mwa wanawake 100 Africa?Nikidhani ni wapili au watatu ukixingatia kuwa ni Rais.

Natamani kupata majumuisho ya yote yaliyomo kwenye hiyo ROYAL TOUR, na impact yake kwa Tanzania kama nchi kiuchumi na kijamii
 
Royal Tour sio kwa ajili ya Rais wetu peke yake. Ni series ambayo inatembelea nchi kadhaa na kumtumia kiongozi wa nchi kuitambulisha kwa dunia. Hivi karibuni ilikuwa Ecuador ambako Rais wake alikuwa ndio guide.

Amandla...
Dunia ipi?
 
Nadhani wameamua kumnafikia

IMG-20210907-WA0001.jpg


Eti anapiga picha na maraia waliokondeana kwenda kuwaonesha wazungu waje kutalii Tanzania 🤣🤣🤣😁😁

Aliyemloga kamuweza kweri-kweri
 
Kama anajihisi ana ushawishi mwambie apige ziara za ndani ya nchi aone jinsi wananchi wake wanamkubali
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (Mama wa vitendo) aorodheshwa na kutambulishwa Dunia kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi mkubwa barani Afrika.

Ripoti ya Avance Media (100Women | Avance Media | 100 Most Influential African Women) yenye Makao Makuu yake Accra, Ghana ambayo ni wakala wa vyombo vya habari inayofuatilia masuala mbalimbali katika jamii barani Afrika. Fursa hii ya kuwa mmoja ya wanawake wenye ushawishi itumike vema kutangaza filamu ya Royal Tour ambayo inalenga kuitangaza Tanzania kimataifa huku Mhe. Rais akiwa mshiriki Mkuu wa filamu hiyo.

#TwendePamoja #KwaMatokeoyaHaraka

View attachment 1923048
View attachment 1923050
Huu upuuzi umeanza tena
 
Royal Tour sio kwa ajili ya Rais wetu peke yake. Ni series ambayo inatembelea nchi kadhaa na kumtumia kiongozi wa nchi kuitambulisha kwa dunia. Hivi karibuni ilikuwa Ecuador ambako Rais wake alikuwa ndio guide.

Amandla...
Ina faida gani na wanaoiandaa wanafaidikaje? Wizara ya utalii mbona iko kimya je bunge lina taarifa ya Hii dubious project?
 
Back
Top Bottom