ROYAL TOUR,Wamebuni mbinu ya kuzoa fedha ikulu. Mwiongoni mwa wanawake 100 Africa?Nikidhani ni wapili au watatu ukixingatia kuwa ni Rais.
Rais Samia Anatarajia Kuanza Ziara Ya Kikazi Nchini MarekaniROYAL TOUR,Wamebuni mbinu ya kuzoa fedha ikulu. Mwiongoni mwa wanawake 100 Africa?Nikidhani ni wapili au watatu ukixingatia kuwa ni Rais.
Dunia ipi?Royal Tour sio kwa ajili ya Rais wetu peke yake. Ni series ambayo inatembelea nchi kadhaa na kumtumia kiongozi wa nchi kuitambulisha kwa dunia. Hivi karibuni ilikuwa Ecuador ambako Rais wake alikuwa ndio guide.
Amandla...
Hata wewe mLumumba huna connection?!Natamani kupata majumuisho ya yote yaliyomo kwenye hiyo ROYAL TOUR, na impact yake kwa Tanzania kama nchi kiuchumi na kijamii
Hata wewe mLumumba huna connection?!
Watafute Kinuju Crimea Lord denning na Jumbe Brown masiempre siempre
Kuwa na heshima japo kidogo, zaidi ya kuwa rais wa nchi ; ni mama yako huyo.Lile paka jike halina ushawishi wowote!
Kashawishi mafisadi ya dunia kurejea tanzania kudumisha ufisadi kama zamani za kikweteIko wapi hiyo taarifa
Huu upuuzi umeanza tenaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan (Mama wa vitendo) aorodheshwa na kutambulishwa Dunia kuwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi mkubwa barani Afrika.
Ripoti ya Avance Media (100Women | Avance Media | 100 Most Influential African Women) yenye Makao Makuu yake Accra, Ghana ambayo ni wakala wa vyombo vya habari inayofuatilia masuala mbalimbali katika jamii barani Afrika. Fursa hii ya kuwa mmoja ya wanawake wenye ushawishi itumike vema kutangaza filamu ya Royal Tour ambayo inalenga kuitangaza Tanzania kimataifa huku Mhe. Rais akiwa mshiriki Mkuu wa filamu hiyo.
#TwendePamoja #KwaMatokeoyaHaraka
View attachment 1923048
View attachment 1923050
Ina faida gani na wanaoiandaa wanafaidikaje? Wizara ya utalii mbona iko kimya je bunge lina taarifa ya Hii dubious project?Royal Tour sio kwa ajili ya Rais wetu peke yake. Ni series ambayo inatembelea nchi kadhaa na kumtumia kiongozi wa nchi kuitambulisha kwa dunia. Hivi karibuni ilikuwa Ecuador ambako Rais wake alikuwa ndio guide.
Amandla...