GE2025 Rais Samia apata mpinzani mwingine: Rose Kahoji wa CUF atangaza nia ya kugombea Urais

GE2025 Rais Samia apata mpinzani mwingine: Rose Kahoji wa CUF atangaza nia ya kugombea Urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Rose Kahoji amekuwa mwanamke wa tatu nchini kutangaza nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 
Pongezi nyingine ziende kwa serikali ya Mama Samia kwa kuandaa healthy environment na Ku inspire wanawake wengi kujitokeza na kugombea nyadhifa za juu nchini na duniani kwa ujumla!
 
Manina wallah!hvi nyie wanaume wa kibongo mmekaa tu mnaangalia hawa wanawake wanavowachezea?Nchi imekua ya kicheni pati
 
Back
Top Bottom