Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
?No erection
Mwanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), Rose Kahoji amekuwa mwanamke wa tatu nchini kutangaza nia ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Khaa! No 'erection' tena? Kwa vile wagombea wawili ni wanawake au mie ndio sijaelewa kama mgombea wa ccm wa kule kigoma asiyejua Muswada?No erection