Rais Samia apewa tuzo ya Champion of Comedy; nami nasema anafaa

Rais Samia apewa tuzo ya Champion of Comedy; nami nasema anafaa

Katika tuzo zote alizowahi pewa, hii amestahili hasa. Maana kila nyanja ya uwepo wake kimadaraka ni full comedy.

Screenshot_20250223_023142_Instagram.jpg
 
Rais wa Nchi ni mlezi na muwezeshaji wa mambo yote!! Mkifurahia kwenye mipira furahieni na huku pia… Rais ni wa sekta zote nchini ni vizuri mkajipanga mtafute vitu Vya maana Vya kukosoa vinginevyo mnaonekana kwenye mafuvu yenu mmejaza usaha badala ya ubongo Ndo maana mnaandika vitu Vya kitoto!
Acha uchawa na kamdomo mkuu, Bwana ananena juu yenu nyie machwa mtakufa midomo wazi
 
Back
Top Bottom