Tuzo hiyo alikabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) ambaye pia ni Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa kwenye sherehe za uzinduzi wa Jengo la Tiba Mionzi katika viwanja vya Hospitali hiyo, Moshi mkoani Kilimanjaro leo Juini 24, 2026.
Soma Pia: Rais Samia apewa Tuzo ya kibinadamu upasuaji wa ubongo
Soma Pia: Rais Samia apewa Tuzo ya kibinadamu upasuaji wa ubongo