Wampe na tuzo ya mauaji , nyanja hii watoa tuzo Hawapi uzito maana hakuna rais aliyenunja rekodi yake
Kwani mlishawishiwa nanani kuandamana na kufanya Uporaji kuchoma Miundombinu ya Serikali kuchoma Mabasi ya Abiria????
Kwenye Tawala zilizopita mlishawai kuchoma Miundombinu na Mali za watu kiasi cha Mo29??
Kwaiyo chuki zenu za Kidini mkaona mkachome Miundombinu ya Serikali 🫎🫎🫎
Chuki zenu zimetokana na 🫎🫎🫎
Miundombinu na Rasilimali za Taifa zimewakosea nini ???
Nendeni tena kwenye Makanisa yenu wakawaelekeze kuchoma Vituo vya Mafuka na Miundombinu mengine kisha njooni iyo 7+7 mjiandae tena kusema Rais Samia katili sana
Rasilimali Miundombinu Mali za Watu
Mkigusa tu palepale Maandamano yanakuwa haramu Waandamanaji wanageuka na kutazazamwa kama MAJAMBAZI
Majambazi wanafanywanini unawachekea tu !!!
Mbona hamkuchoma Makanisa yenu ❗️
waliowatuma uko uko hakuna Mali za kuzichoma ???
Polisi wapo kulinda Sheria na Rasilimali zote za Taifa zikiwemo za watu Binafsi
Mnavamia mpaka baaa kuiba pombe Kuku TV nyama Choma
Uvunjifu wa Sheria maadili ya Kitanzania 👈
CHUKI zenu za Kidini mnaenda kwenye Miundombinu yetu kitawalamba upyaa kinomaaa
Izo chuki zenu ni sawa na zigo la Mavi mlitaka wenyewe kulibeba siku mkiacha ujinga🫎🫎 zigo lako litakuondoka lenyewe
Kuacha ujinga ni kukubali kosa lako
Ulikuwa mjinga kukubali kubebeshwa zigo kichwani na Viongozi wako wa Dini la kumpinga Rais Samia Suluhu Hassan
Dini yako imetumika vibaya kwako👈
Lkn ukiona bado Viongozi wako wa Dini ndio wapo Vema✅️ endeleeni kubeba mizigo yenu. Njooni nayo 7+7
Viongozi wa Dini wanawatumia kama Mazombi
Katika waliokufa hakuna kiongozi wa Dini yenu👈
Manake
wemewasha MOTO💥 kisha wao wakajificha sehemu Salama‼️
wakawaacha Watoto wa mwaka 2007 wakafe kibudu
🫎🫎🫎🫎ndio wakombozi uko 🫎🫎🫎🫎
Kama ujazikwa ww si kibudu tu👈
Utoto wenu unatumiwa vibaya na watakatifu wenu mpo hatarini kama wenzenu waliolala mazima🫎👈
Watakatifu hawa walikuwepo wengine Kenya na Uganda wakawauwa Waumini wao Kizombi zombi
1)
Baba Mchungaji Paul Makenzie Kenya kawauwa Waumini wake mamia kadhaa kwa njaaa tu.
2)
Mwengine yule Baba Mchungaji Joseph kibweteere uyo kawauwa Waumini wake 900 mia9. kawatumia Kizombi Waumini wake
kosa lao marehemu wote kumwamini yeye kuliko akili zao👈
Naww chunga uhai wako uhai wako ni zawadi kutoka kwa Mungu mkuu👈
Usimkabidhi mtu yoyote hatma yako kisa kiongozi wa Dini.
Viongozi wa Dini nawao ni Binadamu tu kama ww wapo wenye dhambi kuliko ww ✍️