Rais Samia apewa Tuzo ya Heshima na Hospitali ya Rufaa KCMC

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Tuzo hiyo alikabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) ambaye pia ni Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa kwenye sherehe za uzinduzi wa Jengo la Tiba Mionzi katika viwanja vya Hospitali hiyo, Moshi mkoani Kilimanjaro leo Juini 24, 2026.

Soma Pia: Rais Samia apewa Tuzo ya kibinadamu upasuaji wa ubongo




Your browser is not able to display this video.
 
Akitoka huko akatembelee hospitali kubwa ya BAKWATA iliyopo buza kwa mkunduge inayoongozwa na sheikh Mwaipopo.
 
KKKT janja janja nyingi.
Hao jamaa wameweka pesa mbele kuliko imani.

Ukiona hivyo Hangaya anaingizwa kwenye kumi na nane za hao omba omba.
 
Yaani huyu mama anavyowahenyesha na kuwatoa uharo haters wake kutwa kucha humu jukwaani Hadi Raha. Tena ile staili yake ya kuwabonyeza kizenji inaniacha hoi sana.

Kila siku ni mwendo wa kuwatia hasira tu haters wake mpaka hedhi ziwamwagike barabarani mamamamamae!!
 
Rais wa ovyo kuwahi kutokea tangu tupate uhuru!
Yaani huyu mama anavyowahenyesha na kuwatoa uharo haters wake kutwa kucha humu jukwaani Hadi Raha. Tena ile staili yake ya kuwabonyeza kizenji inaniacha hoi sana.

Kila siku ni mwendo wa kuwatia hasira tu haters wake mpaka hedhi ziwamwagike barabarani mamamamamae
 
Alivyo idiot, hapo alipo yuko tayari kupokea tuzo ya Radiography Professional of the Year 2026!
Yaani huyu mama anavyowahenyesha na kuwatoa uharo haters wake kutwa kucha humu jukwaani Hadi Raha. Tena ile staili yake ya kuwabonyeza kizenji inaniacha hoi sana.

Kila siku ni mwendo wa kuwatia hasira tu haters wake mpaka hedhi ziwamwagike barabarani mamamamamae
 
Ng’ombe wa Mama, tayari wameshaona kazi yako; wahi kachukue buku saba yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…