Rais Samia apewa Tuzo ya Heshima na Hospitali ya Rufaa KCMC

Chawa wa kilaza ww!
 


😂😂😂 machawa . Hospitali ni ya Lutheran sio ya serikali. Mama kaja kwa picha tu. Huyu muuaji mkubwa apewe nini?
 
Wakatoliki hawampendi huyu sababu aliwashikia bango kwenye Escrow kwa TEC kula rushwa na watuhumiwa...

 
Huyu bado Tuzo ya viwete tu
 
HUO NDIYO UKWELI ,UKISIKIA KANISA LINALO ABUDU SANAMU NI KWA STYLE KAMA HIYO
Wewe uliza ujulishwe kuhusu KKKT, KKKT haina uhusiano na Katoliki na ndani ya makanisa ya KKKT hakuna picha wala sanamu zaidi ya msalaba, au msalaba ndio sanamu!
 
Chadomo watakuja kutukana 😂😂
 
Ni aibu kanisa kukubali rushwa ya wanasiasa na kuisaliti maadili ya kikristo. Kkkt ni materialists, poleni sana waumini wa kiluteri
 

lkn hauoni kama its a bit too little kwa president kucheza childish and foolish games namna hiyo ukichukulia ana more than 60 years hapa duniani na na yeye siyo teenage girl?

hivyo ni sawa siku zote tunavyoamini kuwa zanzibar wana low iq kama barbaria somalia …
 
Mwenye low IQ yupo ikulu anachapa kazi za maana, mwenye high IQ yupo jf anaupiga umbea na akitoka mtaani basi ni kuwakatikia viuno kina lissu, heche na kitima. Inachekeshaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…