Rais Samia apewa Tuzo ya Heshima na Hospitali ya Rufaa KCMC

Mwenye low IQ yupo ikulu anachapa kazi za maana, mwenye high IQ yupo jf anaupiga umbea na akitoka mtaani basi ni kuwakatikia viuno kina lissu, heche na kitima. Inachekeshaaaa!

umeona eeh something is wrong with tanzagiza, aliwezaje kupenya kote huko na kufika juu ? swali gumu …
 
KKKT ni paper tiger! Kanisa la matapeli na ma-puppet wa ccm!
 
Wampe na tuzo ya mauaji , nyanja hii watoa tuzo Hawapi uzito maana hakuna rais aliyenunja rekodi yake

Kwani mlishawishiwa nanani kuandamana na kufanya Uporaji kuchoma Miundombinu ya Serikali kuchoma Mabasi ya Abiria????

Kwenye Tawala zilizopita mlishawai kuchoma Miundombinu na Mali za watu kiasi cha Mo29??

Kwaiyo chuki zenu za Kidini mkaona mkachome Miundombinu ya Serikali 🫎🫎🫎

Chuki zenu zimetokana na 🫎🫎🫎

Miundombinu na Rasilimali za Taifa zimewakosea nini ???

Nendeni tena kwenye Makanisa yenu wakawaelekeze kuchoma Vituo vya Mafuka na Miundombinu mengine kisha njooni iyo 7+7 mjiandae tena kusema Rais Samia katili sana

Rasilimali Miundombinu Mali za Watu
Mkigusa tu palepale Maandamano yanakuwa haramu Waandamanaji wanageuka na kutazazamwa kama MAJAMBAZI

Majambazi wanafanywanini unawachekea tu !!!

Mbona hamkuchoma Makanisa yenu ❗️
waliowatuma uko uko hakuna Mali za kuzichoma ???

Polisi wapo kulinda Sheria na Rasilimali zote za Taifa zikiwemo za watu Binafsi

Mnavamia mpaka baaa kuiba pombe Kuku TV nyama Choma

Uvunjifu wa Sheria maadili ya Kitanzania 👈

CHUKI zenu za Kidini mnaenda kwenye Miundombinu yetu kitawalamba upyaa kinomaaa

Izo chuki zenu ni sawa na zigo la Mavi mlitaka wenyewe kulibeba siku mkiacha ujinga🫎🫎 zigo lako litakuondoka lenyewe

Kuacha ujinga ni kukubali kosa lako

Ulikuwa mjinga kukubali kubebeshwa zigo kichwani na Viongozi wako wa Dini la kumpinga Rais Samia Suluhu Hassan

Dini yako imetumika vibaya kwako👈
Lkn ukiona bado Viongozi wako wa Dini ndio wapo Vema✅️ endeleeni kubeba mizigo yenu. Njooni nayo 7+7

Viongozi wa Dini wanawatumia kama Mazombi

Katika waliokufa hakuna kiongozi wa Dini yenu👈
Manake
wemewasha MOTO💥 kisha wao wakajificha sehemu Salama‼️

wakawaacha Watoto wa mwaka 2007 wakafe kibudu
🫎🫎🫎🫎ndio wakombozi uko 🫎🫎🫎🫎

Kama ujazikwa ww si kibudu tu👈

Utoto wenu unatumiwa vibaya na watakatifu wenu mpo hatarini kama wenzenu waliolala mazima🫎👈

Watakatifu hawa walikuwepo wengine Kenya na Uganda wakawauwa Waumini wao Kizombi zombi

1)
Baba Mchungaji Paul Makenzie Kenya kawauwa Waumini wake mamia kadhaa kwa njaaa tu.

2)
Mwengine yule Baba Mchungaji Joseph kibweteere uyo kawauwa Waumini wake 900 mia9. kawatumia Kizombi Waumini wake

kosa lao marehemu wote kumwamini yeye kuliko akili zao👈

Naww chunga uhai wako uhai wako ni zawadi kutoka kwa Mungu mkuu👈

Usimkabidhi mtu yoyote hatma yako kisa kiongozi wa Dini.

Viongozi wa Dini nawao ni Binadamu tu kama ww wapo wenye dhambi kuliko ww ✍️
 
Hii alipata mwanzoni mwa mwaka nafikiri.

Jana tu iyo✍️

wengi wameshusha zigo la Chuki kwa Rais Samia Suluhu Hassan

wamegundua wanaomchukia wengi Wezi👈

RAIS Bora zaidi kaweza kuziba mianya ya ukwepaji kodi kiasi leo TRA makusanyo yao yanavunja record
kila Mwaka 👈

kutoka Trilioni 17 za rip JPM sasa tupo kwenyeTrilioni 32+

Jiulize kiakili izo Trilioni
zilizo
ongezeka
JE
zilikuwa zinaenda wapi??

Wezi ndio wapo kwenye project ya kumkataa Rais Samia

Wanatumia Dini na Uzanzibar kama kichaka cha kuchezea akili za Watoto!

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Angetaka kuiba tusingejua makusanyo mapya na mazuri ya TRA ✍️
 
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN yupo kwaajili ya kuijenga Tanzania yote kila Sekta inafikiwa au
itafikiwa son 👈

Wezi waliokuwa wanagawana pesa
Leo hawapendi kabisa kusikia habari ya Trilioni 32+😇😇✍️

Jiulize mpaka kufikia 2030 makusanyo ya TRA yakuwa wp👈

Kwasasa Wezi wapo kwenye mipango ya kuwazubaisha Wananchi

mpaka RAIS amalize muda wake wasijue habari yoyote ya Makusanyo ya TRA

WEZI wana hakikisha Wanawabakisha kujadili Uzanzibar Ujenzi wa Zanzibar Udini👈

Mjisaau kuusu TRA

Uko mbele wanakuja kuendelea kutupiga upyaa 👈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…