Tuzo hiyo imetolewa leo, Aprili 16, 2026, na Chama cha Wataalamu wa Upasuaji wa Ubongo na Uti wa Mgongo Tanzania (Tanzania Neurosurgical Society) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa kimataifa wa upasuaji wa ubongo unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam
Mwakilishi wa chama hicho amebainisha kuwa Rais Samia amekuwa chachu ya mabadiliko makubwa kupitia:
Mwakilishi wa chama hicho amebainisha kuwa Rais Samia amekuwa chachu ya mabadiliko makubwa kupitia:
- Uwekezaji wa Matibabu ya Kibingwa
- Mifumo ya Dharura na Vipimo
- Bima ya Afya kwa Wote
- Ujenzi wa Rasilimali Watu, Kuongeza idadi ya wataalamu

