well done Dr.Samia Suluhu HassanTuzo hiyo imetolewa leo, Aprili 16, 2026, na Chama cha Wataalamu wa Upasuaji wa Ubongo na Uti wa Mgongo Tanzania (Tanzania Neurosurgical Society) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa kimataifa wa upasuaji wa ubongo unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam
Mwakilishi wa chama hicho amebainisha kuwa Rais Samia amekuwa chachu ya mabadiliko makubwa kupitia:
- Uwekezaji wa Matibabu ya Kibingwa
- Mifumo ya Dharura na Vipimo
- Bima ya Afya kwa Wote
- Ujenzi wa Rasilimali Watu, Kuongeza idadi ya wataalamu
Namimi kama katibu mkuu wa wapiga nyeto Tanzania, Tunataka tumtunukuu raisi wetu mpendwa degree ya heshima kwahiyo tufanyajewell done Dr.Samia Suluhu Hassan
calm down,Namimi kama katibu mkuu wa wapiga nyeto Tanzania, Tunataka tumtunukuu raisi wetu mpendwa degree ya heshima kwahiyo tufanyaje
Watoaji tuzo wana kituKwa yaliyotokea 29 Oct hiyo tuzo haki yake.
Ni kweli wengi walipasuliwa ubongo..!!
Hao watoaji tuzo wanafki sana πΉπΉπΉ
Niko rada Mkuu haina kweree π π πKaeni rada..watu wanaweza Sasa kumpasua UBONGO na uti wa mgongo.
apewe tuzo ya maauaji katika uchaguziTuzo hiyo imetolewa leo, Aprili 16, 2026, na Chama cha Wataalamu wa Upasuaji wa Ubongo na Uti wa Mgongo Tanzania (Tanzania Neurosurgical Society) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa kimataifa wa upasuaji wa ubongo unaofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam
Mwakilishi wa chama hicho amebainisha kuwa Rais Samia amekuwa chachu ya mabadiliko makubwa kupitia:
- Uwekezaji wa Matibabu ya Kibingwa
- Mifumo ya Dharura na Vipimo
- Bima ya Afya kwa Wote
- Ujenzi wa Rasilimali Watu, Kuongeza idadi ya wataalamu
Gentleman,nasisi tunataka tumtunuku raisi wetu mpendwa au unamuonea wivu?calm down,
na uwe na heshima kidogo tu gentleman
ndezi sana we kijanaGentleman,nasisi tunataka tumtunuku raisi wetu mpendwa au unamuonea wivu?