Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nimesikiliza kupitia BBC na VOA taarifa kuwa Rais Samia alisafiri kwenda Nairobi kwa minajili ya kuwapatanisha mahasimu wa siasa za Kenya ambao ni Rais Ruto na Raila Odinga.
Sijajua undani kama alikwenda au la lakini iwapo ni kweli alikwenda Nairobi basi hatuna budi kumpongeza Rais Samia.
Unapoona majirani wanafarakana kisha ukaenda kuwapatanisha ni ujasiri wa kipekee na upendo mkuu.
Rais Samia apewe maua yake