Bhisumbinyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 797
- 581
Hakuna moto unaowaka bongo. Mambo ni shwari kabisa na bahari imetulia. Mama anaupiga mwingi. Mimi namlauma tu kwa kasi yale ndogo ya kuwaruhusu watu wema DP WORLD kuja kuanza kupiga mzigo pale bandarini. Basi.Ndio ninao.Kwake kunawaka moto, atasuluhishaje kwa wenzie?