we mjinga sanaAcha upuuzi wewe ! Anakiwewe cha zimwi DPW [emoji16] anakimbia hovyo kama headless chicken !
Tumpinge yesKabla hata hujajua kama alikwenda au lah, tayari kishakupwita kuropokwa!
Naunga mkono hoja, Mama apewe maua yake!, hata hapa ndani, ametuthibitishia ni mtu mpatanishi Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa, wakipata vema na kupendana. Tulikotoka ni kugumu, tunakokwenda ni kurahisi, kuzuri! Heri ya Mwaka Mpya wahusika wote.Unapoona majirani wanafarakana kisha ukaenda kuwapatanisha ni ujasiri wa kipekee na upendo mkuu.
Rais Samia apewe maua yake
Nimesikiliza kupitia BBC na VOA taarifa kuwa Rais Samia alisafiri kwenda Nairobi kwa minajili ya kuwapatanisha mahasimu wa siasa za Kenya ambao ni Rais Ruto na Raila Odinga.
Sijajua undani kama alikwenda au la lakini iwapo ni kweli alikwenda Nairobi basi hatuna budi kumpongeza Rais Samia.
Unapoona majirani wanafarakana kisha ukaenda kuwapatanisha ni ujasiri wa kipekee na upendo mkuu.
Rais Samia apewe maua yake
Mkuu umenena vyema, lakini sidhani kama kuna international au regional protocol za kushughulikia upatanishi.Tumoongeze, ila hawaendagi mmoja, wanaji organize wa East Africa wote au eneo fulani...
Sasa kwenda Mama Mmoja, bila kujiunganisha na Uganda kwenda kuwapatanisha midudu mibishi hiyo...
Kusingekuwa na matokeo yeyote yale, siasa za Kenya waachiwage wenyewe waonyeshane Umwamba.
Nataman oia kuelewa:
1. Inawezekana kweli rais wa nchi jirani aje nchini kwako kwa protocal zote na makubaliano wewe usipokee simu wala kutokea kumuona? Siamini.
2. Kwa nini iwe siri na isijumuishe an open dialog kwa uwazi, inakuja kutangazwa wakati ilishapita mda mpinzani wa Uhuru? Siamini
3. Hao jamaa wamejaribu kupatanishwa na local religioua groups, wenye ushawishi, ngoma ikakataa, inawezekanaje tutegemee matokeo kwa Madam Samia?
Mkuu umenena vyema, lakini sidhani kama kuna international au regional protocol za kushughulikia upatanishi.
Jambo lolote jema lenye nia ya kuwapatanisha wanaofarakana hata liwe kwa siri au wazi ni NIA NJEMA pia ni kuonesha namna gani anajali uhai wa marginalized.
Sidhani kama anawapatanisha kwa maslahi binafsi ya wanaofarakana bali kwa maslahi mapana kwa marginalized ambao hawana kinga dhidi ya matendo ya kinyama yatokanayo na mfarakano huo
Kweli kabisa.Wanaume wa Ki Africa kaka ni wa hovyo, Madam Samia unakuta kaenda kwa ni nzuri, ila jamaa wana zarau, wanaona huyu atafanya nini, Kenya waache wagombane mpaka wapatane. Pale juu Museveni, Kagame si unaona wanawaangalia tu, wamewazoea
Amewapatanisha?!Unapoona majirani wanafarakana kisha ukaenda kuwapatanisha ni ujasiri wa kipekee na upendo mkuu.