Rais Samia apewe maua yake kwa uthubutu wa kutatatua mkwamo wa jirani zetu Kenya

Tanzania imekuwa mlezi wa Kenya Kwa Miaka Mingi na lazima wakimbiliea Kwa Tanzania maana tunaweza mwambia Odinga atulie na tukawapa mahindi yetu Kwa bei chee wakaacha kugombana.
 
CHARITY BEGINS AT HOME.

Aweke sawa ya nyumbani kwake kwanza kabla ya kwenda kusulihisha ya jirani.

Kwake kunawaka moto anakimbia na ndoo ya maji kuzima moto wa jirani kwanza.
 
Hqjafanya kosa hapo.
Kumbuka kuna watu wanakufa kule, kitendo cha kuamua kwenda hata kwa siri ni kuonesha kujali na upendo
Upatanishi wa mahasimu wakubwa wa kisiasa haufanywi kwa siri hata siku moja. Hata nia ikiwa nzuri kiasi gani lakini ukakosea taratibu husika basi umekosea!
 
Upatanishi wa mahasimu wakubwa wa kisiasa haufanywi kwa siri hata siku moja. Hata nia ikiwa nzuri kiasi gani lakini ukakosea taratibu husika basi umekosea!
Ninaamini kila mbinu hutumika lakini wakishapatanishwa inakuwa siyo siri tena
 
Kwa vyovyote vile mama katumia hekima kwenda Kenya me si mtaalam mambo ya siasa lakini nimewai kusikia Kenya tuna fanya nao biashara zaidi kuliko nchi nyingine Afrika mashariki ikiwemo gas na nafaka so mama analinda soko la Tanzania kukitokea kutokua na amani kenya na sisi tuna pata shida kwenye biashara..
 
Tanzania imekuwa mlezi wa Kenya Kwa Miaka Mingi na lazima wakimbiliea Kwa Tanzania maana tunaweza mwambia Odinga atulie na tukawapa mahindi yetu Kwa bei chee wakaacha kugombana.
Hili la kiongozi wetu kukimbiwa na mwenyeji wake ni aibu kubwa kwa Taifa letu. Ni tusi la karne kwetu.

Hii kwa wanaDiplomasia wanaelewa madhara yake.

Yaani unapanga safari, unapaa, unatua, unakwenda Hoteli halafu mwenyeji hatokei???! Hapana aisee.

Wakenya wametudharau na huenda huo ukawa mwanzo wa mgogoro wa kidiplomasia.

Tukikaa hapa tunapiga tu soga tutakuwa tunamdhihaki tu kiongozi wetu. Lazima vyombo vyetu viwajibike
 
Ila aliombwa na huyo huyo aliyekimbia.Next time akihitaji Msaada atakuwa treated hivyo hivyo
 
Kwa uzoefu gani alionao aweze kutatua ugomvi kama wa Kenya? Raisi wa Kenya ni mpatanishi wa mgogoro wa Sudan, mgogoro wa kivita, maana yake anauwezo mkubwa wa kutatua migogoro,sasa atachukuaje ushauri kutoka kwa MTU ambaye hajawahi kutatua mgogoro wowote wa kisiasa? Kwenye chama chake cha ccm, migogoro inamshinda, zenj mpaka Leo hawaelewani na ACT, wapinzani,
Hiki ni kituko,
 
Kenya ni jirani zetu, ndugu zetu na pia ni washirki wenzetu katika Jumuiya yetu ya Afrika Mashariki, machafuko yao yanaweza kutuathiri sisi katika mambo mengi tu, hivyo kama kukipatikana fursa ya kupatanishwa na viongozi wetu wafanye hivyo ili mambo yasije kuwa magumu kwa wakenya na jirani zao.
Kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu.
 
 
Wanaume wa Ki Africa kaka ni wa hovyo, Madam Samia unakuta kaenda kwa ni nzuri, ila jamaa wana zarau, wanaona huyu atafanya nini, Kenya waache wagombane mpaka wapatane. Pale juu Museveni, Kagame si unaona wanawaangalia tu, wamewazoea
Aliambatana na Mzee Jakaya Kikwete.
 
Yaani unapanga safari, unapaa, unatua, unakwenda Hoteli halafu mwenyeji hatokei???! Hapana aisee.
Hii inadhihirisha kuwa taarifa iliyotolewa kuwa alialikwa na Ruto haikuwa sahihi.

Huwezi kiongozi wa nchi ukaalikwa, waliokualika wakakukimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…