Rais Samia apewe maua yake kwa uthubutu wa kutatatua mkwamo wa jirani zetu Kenya

Hakuna moto unaowaka bongo. Mambo ni shwari kabisa na bahari imetulia. Mama anaupiga mwingi. Mimi namlauma tu kwa kasi yale ndogo ya kuwaruhusu watu wema DP WORLD kuja kuanza kupiga mzigo pale bandarini. Basi.
Aisee wewe kipofu, na kwa kuwa viongozi wako ni vipofu,mtatumbukia wote shimoni na hamtainuka tena.
 
Maua kwa mama:

 
Aise,you couldn't be more blind.Now I know exactly who you are,a CIA moron and minion.We obvious si Mtanzania,Mtanzania wa kweli anajali nchi yake.

Unaina rahanhiyo, wary wanepewanuhyr7 na.mamanwa9ngee wapendavyo.

Mama anastahili maua yake.
 
Hiyo "real msaliti" ndiyo timu ya wapi hiyo? mie naijuwa real Madrid ya Zinedine Zidane.
Wewe ume-pick comment kabla sijai-edit.I meant,"Msaliti na muuza nchi ana-deserve maua kweli?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…