Rais Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam Hapa Nchini

Rais Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam Hapa Nchini

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,hii leo Jumatatu ikulu ya Dar amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam Hapa Nchini.

Hii ni baada ya hapo jana kushiriki vyema katika sherehe za uapisho wa Rais wa Rwanda Paul Kagane na kurejea Nchini.

leo ameendelea na majukumu yake ya kuwatumikia watanzania kama ilivyo kawaida yake kufanya kazi usiku na mchana na kuwawaza watanzania muda wote wa namna ya kuwainua na kuwakwamua kiuchumi,pamoja na kumuwezesha kila mtanzania kuwa na maisha bora yenye heshima na uwezo wa kupata milo bora mitatu kwa siku.

Ndio maana tunaona akifanya kazi muda wote pasipo kupumzika wala kutulia na familia yake kama ilivyo kwa wengine ambao kwao uongozi ni sehemu ya kujineemesha na kutumikiwa,lakini Rais wetu na Mama yetu mpendwa kwake Uongozi ni Utumishi kwa watu na ni dhamana.

Maana kwake yeye Watanzania ndio familia yake ambayo muda wote anaihangaikia kuipatia mahitaji yote yanayohitajika ili waishi kwa amani na utulivu. Kwa hakika ni bahati kubwa sana kuongozwa na Mama huyu mchapakazi, mzalendo na mwenye upendo wa dhati kwa watanzania na Taifa letu kwa ujumla wake aliyejitoa na kujionea kwa ajili ya watanzania.

Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Denmark hapa nchini Mhe. Jesper Kammersgaard Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Agosti, 2024.

1723474906828.png
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan,hii leo Jumatatu ikulu ya Dar amepokea hati za utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Vietnam Hapa Nchini.

Hivi ni baada ya hapo jana kushiriki vyema katika sherehe za uapisho wa Rais wa Rwanda Paul Kagane.

Huu leo ameendelea na majukumu yake ya kuwatumikia watanzania kama ilivyo kawaida yake kufanya kazi usiku na mchana na kuwawaza watanzania muda wote wa namna ya kuwainua na kuwakwamua kiuchumi,pamoja na kumuwezesha kila mtanzania kuwa na maisha bora yenye heshima na uwezo wa kupata milo bora mitatu kwa siku.

Ndio maana tunaona akifanya kazi muda wote pasipo kupumzika wala kutulia na familia yake .

Maana kwake yeye Watanzania ndio familia yake ambayo muda wote anaihangaikia kuipatia mahitaji yote yanayohitajika. Kwa hakika ni bahati kubwa sana kuongozwa na Mama huyu mchapakazi, mzalendo na mwenye upendo wa dhati kwa watanzania na Taifa letu kwa ujumla wake.

Kazi iendelee,Rais Samia Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Denmark hapa nchini Mhe. Jesper Kammersgaard Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Agosti, 2024.

Kumbe kesharejea toka nchi jirani?
 
Kwa hakika ni lazima tumpatie mama mitano ya kishindoo kwa sababu amefanya kazi kubwa sana iliyotukuka.
Kabsa sioni cha kumzuia mama kurudi ikulu kila sector imeimalika chini ya utawala wake. Sisi wana nchi amezidi kuyagusa maisha yetu kuanzia kwenye fursa za kilimo ,afya ,elimu sambamba na ajira kwa vijana zinazidi kuaminika kama njugu heko kwake.

Kidum chama cha mapinduzi
 
Back
Top Bottom