johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Rais Samia Suluhu Hassan anapokea kifimbo cha malkia wa Uingereza Ikulu jijini Dar es salaam kuashiria uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola.
Tukio liko mubashara TBC na Channel ten
---
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan apokea kifimbo cha malkia wa Uingereza kuashiria uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola
Tukio hilo limefanyika ukumbi wa JK, Ikulu Dar es Salaam
Rais Samia amesema:
- Watanzania tusife moyo kwa TaifaStars kupoteza mechi iliyopita, tutashinda mechi ijayo na hata ikitokea tukawa washindi wa pili sio mbaya
- Tanzania imeshiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola tangu mwaka 1960. Kupitia Michezo hiyo,Tanzania imepata medali 21; medali 6 za dhahabu, 6 za fedha 9 za shaba