johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Hata kukabidhiana kifimbo cha nyerere nao ni utumwa wa fikraKwanini wasikabidhiane kifimbo cha nyerere kuenzi falsafa pamoja na mitazamo yake mwl,,, huú utumwa utaisha lini
ni kujikumbusha kuwa tulitawaliwa na wazungu na bado wametushikiliaInamaana gani na inafaida gani kitaifa..?
Ohoo..ni kujikumbusha kuwa tulitawaliwa na wazungu na bado wametushikilia
Basi historia na kuenzi kitu chochote vyote ni batili na ni utumwa kuanzia wa kifikra,, kiuchumi n.k,,kwa dhana uliyotumia wewHata kukabidhiana kifimbo cha nyerere nao ni utumwa wa fikra
AISEEERais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan apokea kifimbo cha malkia wa Uingereza kuashiria uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola
Tukio hilo limefanyika ukumbi wa JK, Ikulu Dar es Salaam
Rais Samia amesema:
- Watanzania tusife moyo kwa TaifaStars kupoteza mechi iliyopita, tutashinda mechi ijayo na hata ikitokea tukawa washindi wa pili sio mbaya
- Tanzania imeshiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola tangu mwaka 1960. Kupitia Michezo hiyo,Tanzania imepata medali 21; medali 6 za dhahabu, 6 za fedha 9 za shaba
ExactlyHuu nao ni utumwa
Hata jina lako linaonyesha uzungu uzunguni kujikumbusha kuwa tulitawaliwa na wazungu na bado wametushikilia
Hicho kifimbo mbona ni kama vile ibada ya sanamu flani hivi na wenzetu hawa wa ile imani ya Saudia na mambo hayo ya masanamu mbona mbali mbali kabisa sasa inakuaje mama anakubali kugusa hicho kifimbo!!Iko kifimbo kina nini
Nimejikuta nacheka tuWatanzania tusife moyo kwa TaifaStars kupoteza mechi iliyopita, tutashinda mechi ijayo na hata ikitokea tukawa washindi wa pili sio mbaya
Ni uchawi wa malkia kwa makoloni yake, kama uchawi wa Nyerere tu alivyoturoga kwenye Mwenge.Iko kifimbo kina nini
[emoji706][emoji706][emoji706]Kwanini wasikabidhiane kifimbo cha nyerere kuenzi falsafa pamoja na mitazamo yake mwl,,, huú utumwa utaisha lini
hivi haujui Kama Tanzania inaongozwa na uingereza?.Inamaana gani na inafaida gani kitaifa..?