Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kwa mwafrika suala la Imani mara nyingi ni maigizo tu. Dua ya maana ingekuwa kumueleza live uovu unaoendelea.Tazama Rais Samia Suluhu Hassan alivyopokewa kwa dua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KΙΑ).
Rais Samia anaelekea mkoani Arusha ambapo kesho anatarajiwa kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli na Novemba 30 atashiriki mkutano wa kuadhimisha miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
View attachment 3163437
Dua za usanii tu hizo na upuuzi na unafiki.Tazama Rais Samia Suluhu Hassan alivyopokewa kwa dua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KΙΑ).