Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

Hii nchi kuna vitu ukisikia vinaweza kukutia hasira. Labda sijui maana ya hiyo dailisisi maana mimi sio msomi. Lkn kama dailisisi maana yake ni huduma ya kusafisha figo basi mto mada umetupiga kamba. Mu brother is goingto die ameambiwa kusafisha figo mara moja ni laki 7 na anapaswa asafishwe mara tatu kwa wiki ktk maisha yake yote.

Nani anaweza kutoa 2.1 M per week? Option nyingine aliyopewa ni kupandikiza figo. Gharama yake sitaki hata kuiandika hapa.

Amechagua kifo, ameshaniachia wosia niwatunze watoto wake. Inaniuma sana
 
POLE SANA
HUYU aliyeleta mada tumwombe atuombe radhi watz tupo kwenye mstari wa kifo kutokana na gharama za matibabu ya Figo ,kuanzisha mada za kutudanganya suala la uhai WETU,MUNGU anawatonya hao ccm.
 
😭🤕🤕
 
Haya ni maajabu ya mwaka mmoja wa Mama,

Vipi akimaliza kumi?
 
mama kama mama, we proud on her
 
Nataka nianzishe vituo vya Dialysis, Je kuna wataalamu wa kusimamia hizi machine?
 
Heading inasababisha wengi tusisome ulichoandika, tushughulike na kichwa chq habari kwanza.

Unaposema Samia, unamaanisha kuwa nchi haina serikali na kila kitu kinafanywa na mtu mmoja pekee.

Katiba ya nchi imeweka usawa chini ya sheria sasa unapokuwa unasema Samia kafanya hivi maana yake ni kwamba katoa decree jambo lifanyike.

Ungelikuwa una akili ungeweka hapa kifungu chq sheria alichokitunga Samia kuhusu hilo punguzo.

Ukiacha uzwazwa utapelekea Rais apendwe na wananchi lakini kila tukisoma between lines ya posts zako zinaongeza kumfanya rais achukiwe kwa sababu mnalazimisha awe mungu mtu kitu ambacho ni makufuru makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…