Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

Daah,

Hakika Rais Samia anahitaji pongezi sana,
Mungu ambariki rais wetu tunamuombea,

 
Acha na hao wajinga wa chadema
 
Nafikiri Serikali pia ije na mkakati madhubuti ya kuelimisha wananchi kila wakati juu ya nini cha kufanya hasa kuzuia ongezeko la magonjwa ya figo.
 
Huyu mama habari nyingine aise,
Watanzania tumuunge mkono,
 
Nafikiri Serikali pia ije na mkakati madhubuti ya kuelimisha wananchi kila wakati juu ya nini cha kufanya hasa kuzuia ongezeko la magonjwa ya figo.
Wagonjwa wanaongezeka kwa kasi sana, nimewahi kufanya kazi technical support kwenye dialysis center, inatisha na kusikitisha kwa kweli ukiona shida wanazopitia, kuna wengine mnaonana miezi miwili halafu wanaacha kuja, ukifuatilia unaambiwa alishafariki.
 
Tatizo siyo huruma wala ukali hata mungu anayo huruma pia mungu ni mkali,hivyo ukali na huruma siyo tatizo kinachotakiwa ni AKILI KUBWA ambayo ndiyo inatakiwa kusimamia ukali au huruma
 
Mimi ni Mwananchi nataka Katiba Mpya siongei kwa niaba ya Chama cha Siasa.
Mbowe na wenzake walilipwa mabilioni bunge la Katiba,

Kisha wakakimbia bunge nakuanzisha UKAWA,

KATIBA IKAISHIA HAPO, NENDA KAWADAI HAWA KATIBA MPYA KWANI NDIO WALIOKATISHA ZOEZI,
 
Halafu leo mtu anakejeli tu ni njema ya Rais wetu ,Stupid
 
Tuwasamehe bure, Ila hili jambo ni kubwa sana kwa nchi,
 
Hizo bei zinahusu Aga Khan, Shree Hindu Mandal, CCBRT na Selian?
 
Inauma sana aise,

Mungu amlinde Rais Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…