Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

Kuna watu hawapendi,

Wanatamani asingefanya haya watu wetu wafe

Rais amefanya hawataki tumtaje,

Hii nchi kiboko aise,

Kwamwendo huu wataumia sana na BP juu wasipoangalia,
Hao ni watu wachache.Tulio wengi 99.9%,tmefurahishwa na taarifa hii,na nyingine za maendeleo,endelea kutufahamisha.
 
Tanzania ya Samia ni noma,

Umeme bei Chee EAC
Petrol bei Chee EAC
Disel bei Chee EAC
M|taa bei Chee EAC
Data (MB) bei Chee EAC
Maji bei Chee EAC
 
ID za kimkakati sasa ndo hizi zenyewe kutwa kusifia humu
kuanzia asbh mpaka asbh ya kesho yake ni

Mama
Mama
Mama
Mama
Mmama
Mmaaaaa
khaaaaaaaaa!!
Mkuu upumbavu wa baadhi ya Watanzania ni wa hali ya juu.
 
Mama anapiga kazi halafu kimyakimya, hana vishindo vingi vyenye siasa nyuma yake.
Sasa kama anapiga kazi kimya kimya Haya matangazo yote ni ya nini, mnaanza kuturudisha enzi za Kusifu na kuabudu kama kipindi kile cha mwendazake.
Sidhani kama mama anapenda mapambio ila nyie wapambe nuksi ndio mnalazimisha ili mteuliwe..
 
Sasa kama anapiga kazi kimya kimya Haya matangazo yote ni ya nini, mnaanza kuturudisha enzi za Kusifu na kuabudu kama kipindi kile cha mwendazake.
Sidhani kama mama anapenda mapambio ila nyie wapambe nuksi ndio mnalazimisha ili mteuliwe..
Heri yako wewe usiyekuwa mpambe nuksi.
 
I fully support serikali kwenye hili

Lakini siamini tunahitaji mashine 7000

Cost of operations will be very high and I don’t think we have economies of scale because kujua distribution ya wagonjwa, kufundisha wataaam kutumia dialysis, umeme na other nishati, nk

Ni bora wqngewekeza hadi level ya wilaya kwanza

Some of the 7000 facilities hata annual budget haizidi 20m
#RAIS MWENYE HURUMA KWA WATU WAKE,

View attachment 1951754
 
Eeeh! Ninyi wapambe ndio mnasababisha mpaka viongozi wanajiona miungu watu. Kila kukicha ni mwendo wa sifa na mapambio tu.
Mkuu naona unawachanganya watu. Naona kafa Ngosha uliyekuwa unampamba sasa matusi yamekujaa kichwani kama aliyevuta bangi mbichi.

Tabia yako unadhani kila mtu anayo.
 
Back
Top Bottom