Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

Kwani hii huduma ya dialysis kwa upande wa zenji si nasikia bure kabisa au nimekosea ndugu zangu?
 
Misukule ya dikteta mnaumia
 
Mbowe na wenzake walilipwa mabilioni bunge la Katiba,

Kisha wakakimbia bunge nakuanzisha UKAWA,

KATIBA IKAISHIA HAPO, NENDA KAWADAI HAWA KATIBA MPYA KWANI NDIO WALIOKATISHA ZOEZI,
Mchakato wa Katiba mpya ni HAKI yetu sisi Wananchi sio OMBI
 
Mkuu kapate lunch kesho Hyatt Bili yako ntalipia mimi.
 
Kwani Samia ni Rais wa kwanza tangu tupate Uhuru,??

Tumia akili yako vizuri,



 
Na wewe umeshakuwa rimbukeni tu kila mda mama mama! Mwambie ukunyonyeshe! Halafu ameahidi ndo unakuja kuleta umbea hapa!
Ha haa mambo hayako hivi kama anavyosema hu mjeda.kuna siku walisema dawa zitashuka bei kwa kuww tunanuna kiwandani moja kwa moja hivi sasa hali ikoje
 
Itapendeza sana...

Matibabu ya figo huko yalipotekea yalikua na ya gharama sana...
 
Watu wanaongea sisa kijinga hawajakutana na changamoto za matatizo haya
 
Serikali iache kuiba pesa za miamala kwa sababu ni dhuluma.
 
Asante sana,kwa kutujuza,mambo yenye manufaa kwa watanzania wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…