figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Rais Samia apuuza Vifo vya Maandamano ya Uchaguzi 2025, asema waliokamatwa wametoka Nchi za Jirani
Katika hotuba iliyojali Kejeli, hakugusia wala kutoa heshima ya waliotangulia mbele za haki. Bali amewashukuru Wagombea Urais wenzake 16 kwa kukubali matokeo.
Amesema kutokana na hayo mauaji, anasema watu wanatia maagizo Nchi ifanye nini ili mauaji kama hayo yasitokee tena ameyakataa.
"Maagizo ya kutuelekeza nini cha kufanya tumeyakataa". Amesema Rais Samia