Rais Samia arejea Tanzania akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu kikazi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.
 
ahsante Mungu kwa kumuwezesha Rais wetu kufanya ziara yenye mafanikio kwa Nchi yetu.
Kazi iendelee mpaka kieleweke.
 
Reactions: Tui
Nilimuagiza kanzu sijui kaja nayo? Sasa mama aende Asia anatakiwa atembee sana ni hobbie yake
 
Hongera Mama kwa kupambana . Nasubiria Salam na pochi la Mama alichovuna huko UAE.
 
Haya Sasa kazi iendelee na uanze na taarifa ya
1-, polisi wa mtwara. Na kilindi
2-Ukuje kwa
Ma DED Wala Hela za madarasa na vituo vya afya Uliotuambia walikuwa kwenye uangalizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…