jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Hahaaa..katoka shopping dubai..wadanganyika wanaliwa huku wamezubaa..zombie za kijani nazo zimekua kama maazezeta tu..kila kitu ndio..tukope ndio..tutumie hela za ndani ndio..tuweke tozo ndio.Tumerudi kufua nguo, zikikauka then next week nizamu ya kwenda bara Asia.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app