Rais Samia arejea Tanzania akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu kikazi

Tumerudi kufua nguo, zikikauka then next week nizamu ya kwenda bara Asia.
Hahaaa..katoka shopping dubai..wadanganyika wanaliwa huku wamezubaa..zombie za kijani nazo zimekua kama maazezeta tu..kila kitu ndio..tukope ndio..tutumie hela za ndani ndio..tuweke tozo ndio.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo hakukuwa na hafla ya hijab kama juzi?
 
Wasaidizi wa chifu wachape kazi kwa kumuandalia na kupanga safari nyingine wasisubiri mpaka chifu miguu yake ianze kuwashawasha au awakumbushe
 
Chakushangaza wakiwa nje wanapandishwa bajaji na hawalalamiki,wakiisha fika huku wanajifanya mabilionia mwendo wa mav x,hata kutoka arport tu kwenda lkuru, matumizi mabaya ya mikopo
 
Mama sera ya taifa ya kujitegemea inasemaje?
Huko nako tumepata ngapi ??
 
Tunashukuru amerudi salama rais wetu na tunakupenda kweli
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…