ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Rais Samia S Hassan ameendelwa kuonesha kwamba yeye ndio suluhi ya matatizo mbalimbali yanayoikumba jamii Kwa kuendelea kuyatatua Kwa Kasi kubwa.
Kwa Sasa Ma jobless wamefikiwa na Upendo wa mama na moyo wa mshumaa ambapo Serikali yake imetangaza ajiza takribani 10,209 Kwa kada mbalimbali huku 90% ya kazi hizo zikiwa ni Kwa Ajili ya sekta ya afya.
Ikumbukwe mapema mwezi uliopoita Serikali ya mama ilitangaza Ajira zaidi 230 Kwa kada mbalimbali hususani NIT na Shirika la reli.👇👇
My Take
Samia ni mtu na nusu,Harmonise hakukosea.Waalimu stay tuned wiki hii mtamwagiwa Upendo na nyie.👇👇
======
Siku mbili baada ya Gazeti la Mwananchi kuripoti uwepo wa madaktari 3,000, wauguzi 25,000 nchini kukosa ajira, Serikali imetangaza nafasi 9,483 mpya za ajira katika sekta hiyo.
Tangazo hilo la nafasi za ajira limetolewa jana Jumapili Julai 7, 2024 na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka ya Serikali za Mitaa.
"Sekretarieti ya ajira inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 9,483 kama ilivyoainishwa katika tangazo hili," imeeleza taarifa hiyo.
Imeeleza mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni Julai 20, 2024 na moja ya sifa iliyotajwa ni mwombaji kutozidi umri wa miaka 45.
Mwananchi.
Sasa mama amewafikia na Walimu👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C9rrdD0tFlY/?igsh=Y3czcnI0enJrMnFv